Kalonzo Musyoka hataapishwa tena, chama chake kimeona hamna faida ya kufanya hivyo

real G

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2013
Posts
5,227
Reaction score
5,299
Maafisa waandamizi wa kutoka chama cha Kalonzo Musyoka cha Wiper, ambacho ni moja ya vyama vinavyounda Muungano wa Upinzani (NASA) wamesema kiongozi wao huyo hataapishwa tena kama Makamu wa Rais wa Kenya kwa kuwa hawaoni faida ya kufanya hivyo

Badala yake wamemtaka Kalonzo kukijenga chama kwa ajili ya uchaguzi wa mwaka 2022

Pia wamelalamikia kitendo cha wafuasi wa ODM, ambacho ndio chama anachotoka Raila Odinga kumkejeli Kalonzo na kumuita majina yasiyofaa

===================================================
Wiper Party bigwigs have ruled out the possibility of Nasa co-principal Kalonzo Musyoka taking the oath as people’s deputy president.

Led by former Machakos Senator Johnstone Muthama and former Cabinet Minister Titus Mbathi, the Wiper leaders told Mr Musyoka that it was pointless for him to take the oath as it had no political value. They instead asked him to revamp the Wiper Party in readiness for the 2022 election.

“Why would you be sworn in just for the sake of it and yet you will not bring home any State power that can help your supporters after the event?” Mr Mbathi told Mr Musyoka to his face during the leaders’ meeting held at Stoni Athi Resort in Machakos county on Thursday.

He complained that Mr Musyoka had endured public ridicule particularly from ODM supporters for skipping the January 30 “swearing-in” of Nasa leader Raila Odinga, yet there was nothing tangible to be derived from the event.

Mr Muthama expressed similar sentiments, saying he too had deliberately chosen to keep off the ceremony yet he was a member of the event’s organising committee.

He maintained that he, like Mr Musyoka, skipped the event for reasons that were both valid and in the best interests of the party.

“I, Muthama, was co-chair of the swearing-in planning committee alongside Siaya Senator James Orengo of ODM and Ford Kenya’s Kimilili MP Simiyu Eseli. Why are people bashing my party leader Kalonzo Musyoka alone instead of seeking answers as to why we all stayed away,” said the flamboyant politician.

The former senator said he was pained by the kind of unwarranted abuse and name-calling Mr Musyoka had braved from their ODM partners, warning that there was a need to tell Kenyans the truth about the “oath”.

Wiper’s position to dissuade Mr Musyoka from taking the oath is likely to further strain relations between the Nasa coalition partners and intensify feelings of betrayal, given that ODM supporters have been openly calling on Mr Musyoka to take the oath.

During his address at ODM’s National Governing Council (NGC) meeting on Friday, Mr Musyoka was repeatedly met with calls of “biblia (bible)” from the delegates, asking him to take the oath.

Source: Daily Nation
 
Huyo kalonzo ajiunge na ruto 2022!
Yaani Ruto waungane na Mr. Tikiti maji? Aisee. Huyu Kalonzo huwa hana msimamo dhabiti. Kabla ya uchaguzi wa 2007 alikataa kuunga mkono upande mmoja. Yaani kati ya Raila na Kibaki. Kama angefanya hivo, mshindi wa uchaguzi huo angejulikana mapema tu. Vurugu zilizofata uchaguzi huo labda hapo hazingezidi sana kama ilivokuwa.
 
Mbona alijiunga na raila sasa!
Mkuu hapo kulikuwa na mkataba kati ya Raila na Kalonzo, ndo wapate nguvu thabiti ya kupambana na UhuRuto. Mkataba wenyewe ulikuwa wa makubaliano kwamba, Raila awe 'President' kwa muhula mmoja kisha ampe Kalonzo pass. 😀 Hiyo ilikuwa kabla ya uchaguzi wa 2013! .Mzee Raila hataki kung'atuka, 2022 anataka agombee urais tena, kwa mara yake ya tano! Kumbuka muhula wake wa kwanza tayari ushaanza. 😀😀
 
Mkuu hapo kulikuwa na mkataba kati ya Raila na Kalonzo ndo waweze kupambana na UhuRuto. Mkataba wenyewe ulikuwa kwamba Raila awe 'President' kwa muhula mmoja kisha ampe Kalonzo pass. 😀 Hiyo ilikuwa 2007! .Mzee Raila hataki kung'atuka, 2022 ntaka agombee urais tena, kwa mara ya tano! Kumbuka muhula wake wa kwanza tayari ushaanza. 😀😀
Kiukweli ili mziki uwe mtamu raila anapaswa kuwa mgombea mwenza wa kalonzo akimvaa ruto 2022!
 
Ilifaa iwe hivyo uchaguzi huu uliopita. Kalonzo labda agombee urais kivyake, Ruto ameshinda uchaguzi mara mbili, ili uelewe 'support' aliyonayo ni kiasi gani. Sasa iweje tena akubali kuungana na Kalonzo, wakati wote wawili wanataka urais, na yeye Ruto anauona ungwaji mkono wake ukiwa wa hadhi ya kiti cha urais kwenda juu?
 
Maafisa waandamizi wa kutoka chama cha Kalonzo Musyoka cha Wiper, ambacho ni moja ya vyama vinavyounda Muungano wa Upinzani (NASA) wamesema kiongozi wao huyo hataapishwa tena kama Makamu wa Rais wa Kenya kwa kuwa hawaoni faida ya kufanya hivyo

Badala yake wamemtaka Kalonzo kukijenga chama kwa ajili ya uchaguzi wa mwaka 2022

Pia wamelalamikia kitendo cha wafuasi wa ODM, ambacho ndio chama anachotoka Raila Odinga kumkejeli Kalonzo na kumuita majina yasiyofaa

===================================================
Wiper Party bigwigs have ruled out the possibility of Nasa co-principal Kalonzo Musyoka taking the oath as people’s deputy president.

Led by former Machakos Senator Johnstone Muthama and former Cabinet Minister Titus Mbathi, the Wiper leaders told Mr Musyoka that it was pointless for him to take the oath as it had no political value. They instead asked him to revamp the Wiper Party in readiness for the 2022 election.

“Why would you be sworn in just for the sake of it and yet you will not bring home any State power that can help your supporters after the event?” Mr Mbathi told Mr Musyoka to his face during the leaders’ meeting held at Stoni Athi Resort in Machakos county on Thursday.

He complained that Mr Musyoka had endured public ridicule particularly from ODM supporters for skipping the January 30 “swearing-in” of Nasa leader Raila Odinga, yet there was nothing tangible to be derived from the event.

Mr Muthama expressed similar sentiments, saying he too had deliberately chosen to keep off the ceremony yet he was a member of the event’s organising committee.

He maintained that he, like Mr Musyoka, skipped the event for reasons that were both valid and in the best interests of the party.

“I, Muthama, was co-chair of the swearing-in planning committee alongside Siaya Senator James Orengo of ODM and Ford Kenya’s Kimilili MP Simiyu Eseli. Why are people bashing my party leader Kalonzo Musyoka alone instead of seeking answers as to why we all stayed away,” said the flamboyant politician.

The former senator said he was pained by the kind of unwarranted abuse and name-calling Mr Musyoka had braved from their ODM partners, warning that there was a need to tell Kenyans the truth about the “oath”.

Wiper’s position to dissuade Mr Musyoka from taking the oath is likely to further strain relations between the Nasa coalition partners and intensify feelings of betrayal, given that ODM supporters have been openly calling on Mr Musyoka to take the oath.

During his address at ODM’s National Governing Council (NGC) meeting on Friday, Mr Musyoka was repeatedly met with calls of “biblia (bible)” from the delegates, asking him to take the oath.

Source: Daily Nation

Hon Muthama please reveal the truth about the ‘OATH’ taken by hon Raila and retired to his home Karen and Bondo instead of Kenya State House Nairobi![emoji51], labda kuna fumbo!
 
haiwzekani...nikama kusema Kenyatta ajiunge na Raila...hawa ni competitors namba 1...wote wanataka the top seat...

Acha kudanganya wananchi, Kenyatta hayupo sawa na Raila kwani Mhe Kenyatta Uhuru ni Rais wakati Raila hana hata nafasi ya ubunge wala Useneta katika taifa, Raila wala siyo mwenyekiti wa chama cha upinzani cha ODM Kenya kwani Mwenyekiti wa chama ni Mhe John Mbadi na Katibu Mkuu alikuwa Ababu Namwamba aliyekihama chama cha ODM. Unaweza kulinganisha Mhe Uhuru Kenyatta na Mhe Rais Museveni, Magufuli, Kagame, Nkurunziza, Salva Kiir, Lungu wa Zambia na kadhalika.
 
Kama hujui kwamba ODM ni chama cha Raila ni wazi kwamba huelewi kabisa siasa za Kenya. Tena RAO ndo huwa anawachagua hao unaowaita wenye chama, yaani Mwenyekiti na Katibu mkuu. Raila ndo kiongozi wa upinzani Kenya na hata kama hawezi linganishwa na hao ulowataja hapo juu. Ana heshima kubwa sana kwenye ulingo wa siasa huku Kenya.
 
Heshima bila madaraka ni sawasawa na kusema babu yangu mwenye umri wa miaka 110 kijijini ana heshima(licha hana madaraka), Baba kajidhalilisha kwa kupachikiwa cheo feki cha ‘President’ bila madaraka/serikali yaani bila polisi, jeshi, usalama wa taifa kwani baada ya kiapo alirudi nyumbani kwake Bondo badala ya Ikulu. Waliomuuzia mbuzi kwenye gunia sasa wanamcheka - kina Khalwale na kundi lake!
 
Mkuu hapo kulikuwa na mkataba kati ya Raila na Kalonzo, ndo wapate nguvu thabiti ya kupambana na UhuRuto. Mkataba wenyewe ulikuwa wa makubaliano kwamba, Raila awe 'President' kwa muhula mmoja kisha ampe Kalonzo pass. 😀 Hiyo ilikuwa kabla ya uchaguzi wa 2013! .Mzee Raila hataki kung'atuka, 2022 anataka agombee urais tena, kwa mara yake ya tano! Kumbuka muhula wake wa kwanza tayari ushaanza. 😀😀
huo mkataba hats ccm wasingekubali
 
Ilifaa iwe hivyo uchaguzi huu uliopita. Kalonzo labda agombee urais kivyake, Ruto ameshinda uchaguzi mara mbili, ili uelewe 'support' aliyonayo ni kiasi gani. Sasa iweje tena akubali kuungana na Kalonzo, wakati wote wawili wanataka urais, na yeye Ruto anauona ungwaji mkono wake ukiwa wa hadhi ya kiti cha urais kwenda juu?
Hujui siasa mkuu hivi kwa akili zako unategemea wakikuyu watamuachia kiti ruto??? Hapo mara kumi atasimamishwa gideon moi as a kikuyu puppet mwisho wa siku Ruto anaishia kuwa opposition na jinsi politics zilivyo usishangae musyoka anateam up na ruto ili wapambane na wakikuyu 2022

Nani alijua uhuru kenyatta ataungana na ruto ilihali ruto aliapa kenya haitokaa iongozwa na mkikuyu milele!!!

Politics is complex my friend na kwa kenya usitegemee wakikuyu wamuachie kiti Mr ruto aliyechinja wakikuyu 2007 kma kuku.... Hawajasahau
 
Heshima bila madaraka ni sawasawa na kusema babu yangu mwenye umri wa miaka 110 kijijini ana heshima(licha hana madaraka), Baba kajidhalilisha kwa kupachikiwa cheo feki cha ‘President’ bila madaraka/serikali yaani bila polisi, jeshi, usalama wa taifa kwani baada ya kiapo alirudi nyumbani kwake Bondo badala ya Ikulu. Waliomuuzia mbuzi kwenye gunia sasa wanamcheka - kina Khalwale na kundi lake!
Raila hana heshima kisa hana cheo? Obama ana cheo gani sasa hivi?? Mbona bado anaheshimika?? Heshima ni status sio position hivyo odinga ana heshimika licha ya kwamba ni waziri mkuu mstaafu ila ni mwanasiasa wa muda mrefu na kinara wa upinzani ambaye amejenga chama kikubwa zaidi kenya at some point....

Usimdharau mtu ambaye anaweza kugather kura zaidi ya million 6!!! Huyo huwezi sema usimlinganishe na kenyatta.....

Nachoweza sema kosa alilofanya odinga ni kumuacha ruto.... Kma angepata kura za rift valley kenyatta asingemkuta odinga milelel.... So kenyatta sio kwamba sio level za odinga ila ni makabila yake yana kura nyingi sana kuzidi ya odinga ukitaka kuona hilo siku ruto akijitoa jubilee alafu ifanyike re-election ndio utaelewa nasema nini juu ya politics za kenya
 
Yaani Ruto waungane na Mr. Tikiti maji? Aisee. Huyu Kalonzo huwa hana msimamo dhabiti. Kabla ya uchaguzi wa 2007 alikataa kuunga mkono upande mmoja. Yaani kati ya Raila na Kibaki. Kama angefanya hivo, mshindi wa uchaguzi huo angejulikana mapema tu. Vurugu zilizofata uchaguzi huo labda hapo hazingezidi sana kama ilivokuwa.
Tafadhali kaka naomba unijuze kuhusu ushawishi wa gideon moi kwenye siasa inasemekana anatabiriwa kuwa raisi ajae pia wakikuyu wanampa support sana

Ruto na kenyatta ni kama haziivi hakuna anayemuamini mwenzake

Je kuna ukweli naomba unijuze kaka
 
Hujui siasa mkuu hivi kwa akili zako unategemea wakikuyu watamuachia kiti ruto??? Hapo mara kumi atasimamishwa gideon moi as a kikuyu puppet mwisho wa siku Ruto anaishia kuwa opposition na jinsi politics zilivyo usishangae musyoka anateam up na ruto ili wapambane na wakikuyu 2022

Nani alijua uhuru kenyatta ataungana na ruto ilihali ruto aliapa kenya haitokaa iongozwa na mkikuyu milele!!!

Politics is complex my friend na kwa kenya usitegemee
Hujielewi, ukabila wako ni wa kukariri tu. Swali langu, kama wakikuyu hawatampigia kura Ruto, kwasababu ni mkalenjin eti kama unavosema. Ni niini kitawafanya wampigie kura mkalenjin mwenzake, Gideon Moi? It makes NO sense at all.
 
Tafadhali kaka naomba unijuze kuhusu ushawishi wa gideon moi kwenye siasa inasemekana anatabiriwa kuwa raisi ajae pia wakikuyu wanampa support sana

Ruto na kenyatta ni kama haziivi hakuna anayemuamini mwenzake

Je kuna ukweli naomba unijuze kaka
Huu ni mwaka wao wa sita wakiwa uongozini. Hayo unayoyaongelea si tungekuwa tushayasikia. Jubilee wapo very organized, ukitaka kujua kuhusu mwili bila kichwa, angaza macho yako kwa wale jamaa wa vitendawili.
 
Hujielewi, ukabila wako ni wa kukariri tu. Swali langu, kama wakikuyu hawatampigia kura Ruto, kwasababu ni mkalenjin eti kama unavosema. Ni niini kitawafanya wampigie kura mkalenjin mwenzake, Gideon Moi? It makes NO sense at all.
Sababu Gideon moi ni loyal kwa wakikuyu na watamburuza wanavyotaka

Kingine Ruto aliwachinja wakikuyu 2008 makanisani hivyo hawajasahau bado wana grudge naye hivo hawatokaa wampigie kura hata siku moja ilihali moi hakujihusisha na hizo vurugu wala hakuwa kwa siasa

Ni rais iwa gideon kupata kura za upinzani sababu hajakwaruzana nao kuliko ruto ambaye wapinzani wanamuona kma adui wa demokrasia sababu ameshrikiana na kina kenyatta kupora kura zao

Sababu ni nyingi tu zinamfavor moi than ruto.....
 
Sababu Gideon moi ni loyal kwa wakikuyu na watamburuza wanavyotaka

Kingine Ruto aliwachinja wakikuyu 2008 makanisani hivyo hawajasahau bado wana grudge naye hivo hawatokaa wampigie kura hata siku moja ilihali moi hakujihusisha na hizo vurugu wala hakuwa kwa siasa

Ni rais iwa gideon kupata kura za upinzani sababu hajakwaruzana nao kuliko ruto ambaye wapinzani wanamuona kma adui wa demokrasia sababu ameshrikiana na kina kenyatta kupora kura zao
Eti Gideon Moi amekuwa loyal kwa wakikuyu? Kivipi, kama kiongozi wa kidini, mzee wa jamii hiyo, ngariba ua nani? Acha 'guesswork' angalia uhalisia wa mambo, Gideon Moi ni Seneta wa kaunti ya Baringo, William Ruto ni naibu wa rais wa Kenya.
 
Back
Top Bottom