zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 20,537
- 31,729
Sawa mkuu tukutane 2022 God willing utakuja niambia I've been singing a million times RUTO hawezi pitishwa na wakikuyu kuwa Rais wao keep dreamingEti Gideon Moi amekuwa loyal kwa wakikuyu? Kivipi, kama kiongozi wa kidini, mzee wa jamii hiyo, ngariba ua nani? Acha 'guesswork' angalia uhalisia wa mambo, Gideon Moi ni Seneta wa kaunti ya Baringo, William Ruto ni naibu wa rais wa Kenya.
Wenzako wameshaanza mpigia debe moi we umekalia ruto ruto jua linazama !!