Hakuwemo kwenye ndege iliyopata ajali, yeye alikuwa akicheza soka la kulipwa ulaya na alikwenda moja kwa moja Senegal, waliopata ajali walikuwa wakitokea ZambiaMwenye story ya jinsi kalusha bwalya alivyonusurika ajali ya ndege wenzake wote wakafa mje apa mtujuze maana wengine tulikuwa wadogo.
Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
OukyHakuwemo kwenye ndege iliyopata ajali, yeye alikuwa akicheza soka la kulipwa ulaya na alikwenda moja kwa moja Senegal, waliopata ajali walikuwa wakitokea Zambia
Ilikuwa mwaka gan???Hakuwemo kwenye ndege iliyopata ajali, yeye alikuwa akicheza soka la kulipwa ulaya na alikwenda moja kwa moja Senegal, waliopata ajali walikuwa wakitokea Zambia
Una Uhakika ?Hakuwemo kwenye ndege iliyopata ajali, yeye alikuwa akicheza soka la kulipwa ulaya na alikwenda moja kwa moja Senegal, waliopata ajali walikuwa wakitokea Zambia
AsanteKuepuka kupata habari zenye ukakasi soma hapa...
1993 Zambia national football team plane crash - Wikipedia.
1993
Taifa Stars tumetulia tu kipindi chote hicho?Zambia ya wakati huo ilikuwa na wachezaji wengi wazuri sana. First eleven waliobaki baada ya ajali hiyo ya 1993 ni Bwalya (aliyekuwa ajiunge na timu akitokea Holland) na Charles Musonda (akitokea Belgium ). Lakini walijenga timu upya na 1994 - mwaka mmoja baadaye - wakifika fainali ya kombe la Africa.
Kwa hiyo waliuawa na Wazungu? Tuhuma nyingine hata shetani aazishangaa.Ile timu ilitarajiwa kuwa tishio kwenye world cup 1994.
WAZUNGU Wana mbinu za hatari sana
Iliisha tokea na ikatwaa kikombe cha AFCON ile ya akina Katongo, Mayuka, Sunzu, nk.Aisee zambia ile haitatokea tena
Sema watu wakiisha kufa kwenye peak yao huwa wanasimuliwa sana kwamba wangetisha zaidi. Kama vile 2PAC, BOB MARLEY nk.Zanzibar iliyo sheheni watu ilikufa goli 8. Kalusha na Mwenzake sikumbuki jina walikua wametoka Ulaya Mojakwamoja wakutane na timu Senegal.
Zambia ya
Effort Chabala, Witson Changwe, Derby Makinda, Moses Chikwalakwala, John Soko,Mumba Mwila, Peter (Bomber)Banda n.k Jamaa walikua na watu.
Kama sikosei Bwalya alitokea Amerika Kusini na siyo Holland (Nisahihishwe)Zambia ya wakati huo ilikuwa na wachezaji wengi wazuri sana. First eleven waliobaki baada ya ajali hiyo ya 1993 ni Bwalya (aliyekuwa ajiunge na timu akitokea Holland) na Charles Musonda (akitokea Belgium ). Lakini walijenga timu upya na 1994 - mwaka mmoja baadaye - wakifika fainali ya kombe la Africa.
Upumbavu na akili za Kimaskini. Wala haikuwa tishio kiasi hicho. Na haikuwa na mkono wa mtu yeyote msilishane upumbavu.Ile timu ilitarajiwa kuwa tishio kwenye world cup 1994.
WAZUNGU Wana mbinu za hatari sana