Kalusha Bwalya

Kalusha Bwalya

Mwenye story ya jinsi kalusha bwalya alivyonusurika ajali ya ndege wenzake wote wakafa mje apa mtujuze maana wengine tulikuwa wadogo.

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
Acha kabisa unanifanya nilie upya....nlipoteza vijana wenzangu maskini... Huwa nikiwakumbuka nalia sana. Naumia kwa ule mkasa... Acha...usiendelee kusema kitu.
 
Back
Top Bottom