Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
Upumbavu na akili za Kimaskini. Wala haikuwa tishio kiasi hicho. Na haikuwa na mkono wa mtu yeyote msilishane upumbaIle timu ilitarajiwa kuwa tishio kwenye world cup 1994.
WAZUNGU Wana mbinu za hatari sana
Kwa hiyo waliuawa na Wazungu? Tuhuma nyingine hata shetani aazishangaa.
Miafrika mipumbavu sana haina akili. Yaani hili nalo inasingizia wazungu. Sijui kwa lipi sasa...Kwa hiyo waliuawa na Wazungu? Tuhuma nyingine hata shetani aazishangaa.
Acha kabisa unanifanya nilie upya....nlipoteza vijana wenzangu maskini... Huwa nikiwakumbuka nalia sana. Naumia kwa ule mkasa... Acha...usiendelee kusema kitu.Mwenye story ya jinsi kalusha bwalya alivyonusurika ajali ya ndege wenzake wote wakafa mje apa mtujuze maana wengine tulikuwa wadogo.
Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
Watu wanakufa wanazaliwa wengine na wanafika fainali kudadekiTaifa Stars tumetulia tu kipindi chote hicho?