Yale yale ya st john's university!kusoma kweli we kasome ukimaliza degree nayo private mkopo hawatakupa!
hicho chuo ndo chuo gani sidhan hata kama nacte/tcu wanakitambua
Mkuu hiyo ni sahii kwani private wanachukua hata D's kwenye masomo 3 ya olevel PCB, Ila govt wameweka vigezo vya C kwa sababu nafasi ni chake tu lakin sio kwamba ndito sheria za NACTE pia hata vyuo vikubwa kama Mvumi cha Dodoma pia wanachukua kwa Ds ktk hayo masomo.
ina maana Kam college hakijasajiliwa na Nacte ??
KAM imesajiliwa,ila mwisho wa siku ni majanga
KAM imesajiliwa,ila mwisho wa siku ni majanga
Kivipi ndugu funguka maana utakuwa umesaidia wengi!