Nikhil
JF-Expert Member
- Apr 16, 2013
- 361
- 120
Wakuu natumai mko good!
Wakuu hiki chuo cha Afya sikielewi kuhusiana na vigezo vya kujiunga na Diploma kwa passmark za O-level .
Wengi tunajua kuwa 0- level kujiunga diploma may be in clinical oficcer vigezo ni uwe na!
C . ya biology
C . ya chemistry
D. ya physics chini ya hapo ni certificate ila wao nimeongea nao wanadai hata ukipata credit moja na D flat kwenye PCB may be uwe umepata .
C ya biology oders D unajiunga Diploma.
Wakuu Je? hili ni sawa kwa kuwa hiki chuo ni cha Private au ni Usanii tu ?