Supu ya popo.
Ugali & Kabichi
Naunga mkono hojaugali wa muhogo na kisamvu... imagine
๐ถ๐ถ๐ถ๐ถ๐ถ๐ถ๐ถ๐ถ๐ถ๐ถ๐ถ๐ถ๐ถ๐ถ๐ถ๐ถ๐ถ๐ถ๐ถ๐ถ๐ถ๐ถ๐ถ๐ถ๐ถ๐ถ๐ถ๐ถ๐ถ๐ถ๐ถ๐ถ๐ถ2020 nadani ndo mwaka uliomake history kuliko miaka yote na hii imetokana na uwepo wa covid-19.
Kuna watu tumekaa ndani mpk sasa wengine tumeweza kupika mpk chapati za kusukuma(joking)
Binafsi huu mwaka ungekuwa ni chakula basi me naupa jina la ile mikate iliokuwa ikitumik kipindi cha Yesu.
Vipi wewe unaupa jina la chakula gani??!
View attachment 1447147
Sent using Jamii Forums mobile app