Kama 2020 ingekuwa ni chakula ungekipa jina gani??!

DAD'S SON

JF-Expert Member
Joined
Nov 18, 2015
Posts
392
Reaction score
466
2020 nadani ndo mwaka uliomake history kuliko miaka yote na hii imetokana na uwepo wa covid-19.
Kuna watu tumekaa ndani mpk sasa wengine tumeweza kupika mpk chapati za kusukuma(joking)

Binafsi huu mwaka ungekuwa ni chakula basi me naupa jina la ile mikate iliokuwa ikitumik kipindi cha Yesu.

Vipi wewe unaupa jina la chakula gani??!
Screenshot_2020-05-11-17-22-48_1.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
2020 nadani ndo mwaka uliomake history kuliko miaka yote na hii imetokana na uwepo wa covid-19.
Kuna watu tumekaa ndani mpk sasa wengine tumeweza kupika mpk chapati za kusukuma(joking)

Binafsi huu mwaka ungekuwa ni chakula basi me naupa jina la ile mikate iliokuwa ikitumik kipindi cha Yesu.

Vipi wewe unaupa jina la chakula gani??!
View attachment 1447147

Sent using Jamii Forums mobile app
🌶🌶🌶🌶🌶🌶🌶🌶🌶🌶🌶🌶🌶🌶🌶🌶🌶🌶🌶🌶🌶🌶🌶🌶🌶🌶🌶🌶🌶🌶🌶🌶🌶
 
Back
Top Bottom