Kama Adam na Hawa walikuwa weupe; Je, MWAFRIKA alitoka wapi?

Sayansi yote ya mambo ya kale si imeshathibitisha kuwa mabaki ya binadamu wa kwanza kabisa duniani yalipatikana Afrika tena hapa hapa Afrika Mashariki?

Hii ina maana moja tu, kama kulikuwa na Adamu na Hawa wa kwanza kabisa duniani, basi walikuwa Waafrika weusi na si vinginevyo.
 
Adam na Hawa hawakuwa weupe walikuwa na ngozi ya maji ya kunde au kahawia, ukisoma biblia vizuri utagundua binadamu wengi walikuwa na mwonekano wa namna hiyo
 
watanzagiza wengi hawakuuishi utoto, utoto wao uliporwa ndiyo maana ni watu wazima lkn ni watoto, kwa kawaida maswali kama haya huulizwa na watoto mpaka miaka 5 hata hivyo akishafika kuanzia 6 wanaanza kujitambua, kama ulishakaa na mtoto utasikia maswali meengi anakuuliza baba kwa nini hivi, baba kwa nini vile, baba kwa nini. mtoto anauliza maswali ya kwa nini kila sentensi ni kwa nini lkn anauliza hivyo kwa sababu anataka kujfunza sasa kama asipojibiwa utotoni matokeo yake ndiyo hayo unakuta mfanyakatzi wa serikalini hata waziri labda lkn ni mtoto.

ni muhimu wazazi jitahidini kuwaacha watoto wenu wawe watoto, wacheze wafanye fujo wapeni uhuru hiyo phase ikipita wanaacha ...
 
Tujitafakari WAAFRIKA kwa kuanza kutafuta ukweli wa ASILI na CHANZO chetu!!!!!!

MWAFRIKA AMKA!!
Mh! Kwa ninavyojua mimi mwanadamu wa kwanza alikuwa na asili (black). Anyways, vyovyote vile suala la kubadilika kwa rangi ni effect za kijiografia. Lakini wataalamu wanathibitisha kuwa athari za kijiografia zinaathiri jeni na kupelekea mabadiliko ya ngozi ya mwanadamu. Lakini athari hizo zinachukua miaka hata elf kizazi na kizazi.

Mfano, unamuona Mbape alivyo white vile akiendelea kukaa huko kwenye vizazi vyake miaka mingi ijayo wataanza kuzaliwa super whites na kale ka asili kanapotea.

NB: sina ujuzi sana kwenye masuala ya genetics
 
Achana na mambo ya rangi ww kama una amini Mungu yupo na adam na hawa ndo binaadam wa kwanza inatosha mambo ya rangi hayana maana sana kwa Mungu
 
Probably Kulikuwa na Binadamu wengine zaidi ya Adam na Hawa...
 
Tujitafakari WAAFRIKA kwa kuanza kutafuta ukweli wa ASILI na CHANZO chetu!!!!!!

MWAFRIKA AMKA!!
Ndio maana "ni hadithi za sungura " nashangaa ni kwa nini wengi wamekubali. Ukiamini unapunguza uwezo wa kufikiri. Fikiria bara la Afrika lina wengi wanaoamini ila ni bara masikini kwa kukosa uwezo wa kufikiri. Atheists ndio wanaoendeaha hii dunia, hawana mda wa kupotezea kwenye imani.
 
Bado hajajitokeza mwenye jibu pendwa "eti nalilii amlimchungulia mzee baba" mambo yakaharibika mzee baada ya pombe kuisha ukawa msala home.
 
Tujitafakari WAAFRIKA kwa kuanza kutafuta ukweli wa ASILI na CHANZO chetu!!!!!!

MWAFRIKA AMKA!!
Una ushahidi gani kuwa Adam na Hawa walikuwa weupe?
Hata hivyo kwa watu waliosoma biology vizuri wanajua kuna factor nyingi zinazochangia rangi ya mtu;
1. Mazingira kwa ujumla/ jua au baridi, nk
Huwezi kutegemea mtu anayeishi Equator ambapo jua linachoma mwaka mzima awe sawa na mtu anaishi kwenye barafu.
2. Kuna mambo ya Genetics; hatuna ushahidi kuwa Adam na hawa waliumbwa wakaweka Genes za aina gani?
pengine walikuwa na genes zote- za weusi, wekundu na weupe..
3. Huwa nasikia kwenye masimulizi ya kale kuwa, pengine kwa asili Yesu alikuwa mweusi ILA wazungu wakaweka picha nyeupe kwa kuwa alitenda mengi makubwa iwe ni mzungu katenda
 
Cha ajabu wagalatia mnaambiwa kabisa na bibilia mtu weusi altokana laana baada ya myahudi mmoja kukataa kutoa sadaka ila mnashupaza fuvu na ugalatia
Ndio maana wale orthodox jews walisema kabisa watu weusi ni nyani
 
Hao wazungu,wachina,wahindi,warabu,nk walitoka wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…