Kama Adam na Hawa walikuwa weupe; Je, MWAFRIKA alitoka wapi?

Kama Adam na Hawa walikuwa weupe; Je, MWAFRIKA alitoka wapi?

Hamna sehemu wameandika walikua weupe
Waafrika wengi kama wewe hawataki kushughilisha ubongo wao,kwa ubongo wangu kama muhamadi ni mtume wa waarabu basi kwa 100% alikuwa mweupe/mwarabu siyo mwafrika kwani hata jina lake ni la kiarabu,na kama huyo yesu asili yake ni uyahidi ambako wayahudi ni weupe basi hakuwa mweusi/mwafrika bali mweupe.

Huu siyo wakati wa KUAMINI bali KUJUA vitu vinavyokuzunguka hasa vya asili yako.
 
Adam na Hawa hawakuwa weupe walikuwa na ngozi ya maji ya kunde au kahawia, ukisoma biblia vizuri utagundua binadamu wengi walikuwa na mwonekano wa namna hiyo
Kwa hiyo waafrika,warabu,wachina,nk nao walikuwa maji ya kunde?
Unajua huu siyo wakati wa kujipendekeza kwaajili ya uninga utachekwa,hiki ulicholeta ni uninga uliopitiliza kabisa kiasi kwamba hutumii akili yako ya kuzaliwa nayo bali ya kuaminishwa
 
watanzagiza wengi hawakuuishi utoto, utoto wao uliporwa ndiyo maana ni watu wazima lkn ni watoto, kwa kawaida maswali kama haya huulizwa na watoto mpaka miaka 5 hata hivyo akishafika kuanzia 6 wanaanza kujitambua, kama ulishakaa na mtoto utasikia maswali meengi anakuuliza baba kwa nini hivi, baba kwa nini vile, baba kwa nini. mtoto anauliza maswali ya kwa nini kila sentensi ni kwa nini lkn anauliza hivyo kwa sababu anataka kujfunza sasa kama asipojibiwa utotoni matokeo yake ndiyo hayo unakuta mfanyakatzi wa serikalini hata waziri labda lkn ni mtoto.

ni muhimu wazazi jitahidini kuwaacha watoto wenu wawe watoto, wacheze wafanye fujo wapeni uhuru hiyo phase ikipita wanaacha ...
Very good. Kuna wakati akili huwa zinakutulia, huchanganyi na yale mambo yako.
Safi sana Kijakazi
 
Akili yako kisoda!!
Hayo siyo marengo ya maandiko!!
Ukimaliza hapo utauliza walikua wanaongea lugha gan?

Sasa we jmaaa itakusaidia nn??
 
Kwa hiyo waafrika,warabu,wachina,nk nao walikuwa maji ya kunde?
Unajua huu siyo wakati wa kujipendekeza kwaajili ya uninga utachekwa,hiki ulicholeta ni uninga uliopitiliza kabisa kiasi kwamba hutumii akili yako ya kuzaliwa nayo bali ya kuaminishwa
wewe upo upande gani, kwani mtu hawezi kuzaa watoto wa5 na katika watoto hao wakawa na rangi tofauti?
 
1784980974049.png
 
Mbona hao walikua weusi, watu weupe ndiyo waanze kujitafakari asilia yao ni wapi...


Cc: Mahondaw
 
Tujitafakari WAAFRIKA kwa kuanza kutafuta ukweli wa ASILI na CHANZO chetu!!!!!!

MWAFRIKA AMKA!!
Waafrika "waliumbwa" miaka zaidi ya 50,000 kabla wazungu "hawaubwa". Wazungu kwa kifupi wanatokana na waafrika waliohama Africa kwenda bara Ulaya na kubadilika ngozi yao kutokana na hali ya hewa huko.
 
Akili yako kisoda!!
Hayo siyo marengo ya maandiko!!
Ukimaliza hapo utauliza walikua wanaongea lugha gan?

Sasa we jmaaa itakusaidia nn??
Hayo maandiko wewe yamekusaidia nini kama siyo kufifiza ufikiri wako?

Mwenye akili kisoda ni wewe usiyejitambua kwa kutodadisi mambo ili kupata mwanga siyo kuishi kwa kuamini ujinga ulioandikiwa wakati waliokuandikia ujinga huo hawaufuati kabisaaa!!
 
Ngoja wafia dini waje kukupa muongozo, ila mabaki ya mtu wa kwanza yalipatikana afrika, huo weupe wa Adam na hawa una walakini
 
Adam na Hawa hawakuwa weupe walikuwa na ngozi ya maji ya kunde au kahawia, ukisoma biblia vizuri utagundua binadamu wengi walikuwa na mwonekano wa namna hiyo
Bila shaka walikuwa Wahindi au Wamongolia
 
Hayo maandiko wewe yamekusaidia nini kama siyo kufifiza ufikiri wako?

Mwenye akili kisoda ni wewe usiyejitambua kwa kutodadisi mambo ili kupata mwanga siyo kuishi kwa kuamini ujinga ulioandikiwa wakati waliokuandikia ujinga huo hawaufuati kabisaaa!!
Umeona mi naanzisha nyuzi za kijinga za ivo??
Ongelea uchumi ,maisha na jinsi ya kutatua changamoto !

Acha uo ufala kijana unapotea
 
Back
Top Bottom