Kama akikutwa na hatia chairman Mbowe kufungwa miaka 15-20

Kamanda Asiyechoka

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2020
Posts
3,315
Reaction score
5,058
Kati ya makosa anayoshitakiwa nayo Mbowe mojawapo ni kufadhili ugaidi. Japokuwa anashitakiwa kwa makosa mengine lakini hili ndio kosa pekee linalomkabili yeye peke yake.

Yale mengine ya kupanga njama za kufanya ugaidi ameundanishwa na watuhumiwa wengine.

Kwa mujibu wa kifungu cha 13 cha POA akikutwa na hatia anaweza kufungwa miaka 15-20.

My take: kama chama tuna wakati mgumu sana. Tujifunze kuwa na succession plans.
 
Nyinyi mnapaswa kuongea na wanasheria wa Freeman Mbowe na wenzake wafanye maombi mahakamani kesi hii irushwe LIVE COVERAGE kupitia channel maalum. Ili watanzania na dunia wafuatilie hatua kwa hatua.

Application ifanywe under "Certificate Of Urgency". Ili figisu za kuzuia mikusanyiko kwa kigezo cha Covid 19 na kuzuia Maandamano ndio kiwe kama sababu kuu za msingi.

Hawatathubutu kabisa nakuapia wajaribu kufanya hivyo waone usione watu wamekaa kimya.Mauwaji ya kiholela yataanzia hapo.
 
Kati ya makosa anayoshitakiwa nayo Mbowe mojawapo ni kufadhili ugaidi. Japokuwa anashitakiwa kwa makosa mengine lakini hili ndio kosa pekee linalomkabili yeye peke yake.

Yale mengine ya kupanga njama za kufanya ugaidi ameundanishwa na watuhumiwa wengine.

Kwa mujibu wa kifungu cha 13 cha POA akikutwa na hatia anaweza kufungwa miaka 15-20.

My take: kama chama tuna wakati mgumu sana. Tujifunze kuwa na succession plans.
Hata ikiwa billions of money wananchi watachangia
 
Kumfunga kwa kubambika hawawezi. Wanatafuta namna ya kumuachia bila ya kuwepo watu wengi wa kumpokea.
 
Nyinyi mnapaswa kuongea na wanasheria wa Freeman Mbowe na wenzake wafanye maombi mahakamani kesi hii irushwe LIVE COVERAGE kupitia channel maalum. Ili watanzania na dunia wafuatilie hatua kwa hatua.

Application ifanywe under "Certificate Of Urgency". Ili figisu za kuzuia mikusanyiko kwa kigezo cha Covid 19 na kuzuia Maandamano ndio kiwe kama sababu kuu za msingi.

Mbona ya Rwakatare hamukuomba irushwe live!?
 
Yawezekana huu uzi unataka ku-test hasira za nguvu ya umma mitandaoni
 
Atoroke tu huko mahabusu aingie msituni kama Joseph Kony awaonyeshe nini maana ya ugaidi...ubaya ubaya tu🐒🤸🤣
images (1) (7).jpeg
images (1) (6).jpeg
 
Kamanda Asiyechoka wewe tunakujua ni team Lumumba, mbona unapenda sana kujihusisha na Mambo ya Mbowe?
Si uongelee Mambo yenu ya kina Shaka na Mashaka mliyonayo Hadi mnapanik.
 
Kati ya makosa anayoshitakiwa nayo Mbowe mojawapo ni kufadhili ugaidi. Japokuwa anashitakiwa kwa makosa mengine lakini hili ndio kosa pekee linalomkabili yeye peke yake.

Yale mengine ya kupanga njama za kufanya ugaidi ameundanishwa na watuhumiwa wengine.

Kwa mujibu wa kifungu cha 13 cha POA akikutwa na hatia anaweza kufungwa miaka 15-20.

My take: kama chama tuna wakati mgumu sana. Tujifunze kuwa na succession plans.
Aacha ramli chonganishi,mumbambikie halafu ulete mambo ya ramli kulingana na matamanio yako,acha ujinga.
 
acha mikwara mbuzi, anaweza fungwa na msifanye chochote. niambie mission ya chadema iliyowahi fanikiwa ktk nchi hii
Mission iliyofanikiwa na binge kuingia kingi ni Mbowe na chadema kuwauzia CCM wabunge ili mabeberu waamini Demokrasia
 
Back
Top Bottom