Kama akikutwa na hatia chairman Mbowe kufungwa miaka 15-20

Si nyie muliojipa mamlaka,sasa unaulizaje hilo,wakati huu.
niamin mm mkuu nakuhakikishia...hamuwezi kufanya chochote, acha kuumiza kichwa na siasa za upinzani mkuu utapotea utaanza watoto, mke/mume nna ndugu zako
 
Nyie karirini mnataka kusema cc tuna dola imara kuliko ile ya hosni mubaraka don't underestimate the oppressed mass.
 
Back
Top Bottom