Kamanda Asiyechoka
JF-Expert Member
- Sep 13, 2020
- 3,315
- 5,058
Hata ikiwa billions of money wananchi watachangiaKati ya makosa anayoshitakiwa nayo Mbowe mojawapo ni kufadhili ugaidi. Japokuwa anashitakiwa kwa makosa mengine lakini hili ndio kosa pekee linalomkabili yeye peke yake.
Yale mengine ya kupanga njama za kufanya ugaidi ameundanishwa na watuhumiwa wengine.
Kwa mujibu wa kifungu cha 13 cha POA akikutwa na hatia anaweza kufungwa miaka 15-20.
My take: kama chama tuna wakati mgumu sana. Tujifunze kuwa na succession plans.
Mbona ya Rwakatare hamukuomba irushwe live!?Nyinyi mnapaswa kuongea na wanasheria wa Freeman Mbowe na wenzake wafanye maombi mahakamani kesi hii irushwe LIVE COVERAGE kupitia channel maalum. Ili watanzania na dunia wafuatilie hatua kwa hatua.
Application ifanywe under "Certificate Of Urgency". Ili figisu za kuzuia mikusanyiko kwa kigezo cha Covid 19 na kuzuia Maandamano ndio kiwe kama sababu kuu za msingi.
Wito Kwa Serikali na DPP: Kesi Ya Ugaidi Dhidi Ya Freeman Mbowe Na Wenzake Irushwe LIVE Kupitia Channel Maalum Ya Online TV
Habari wana Jamii, Nimekaa na kutafakari kuhusu kesi ya Ugaidi Ya Freeman Mbowe na Wenzake ambayo inakaribia kuanza mwezi ujao. Na ndio nikaamua kuanzisha hii thread maalum ya kuomba kesi hio irushwe "LIVE COVARAGE" kwa kutumia Channel Maalum (Za Bure) kama ilivyofanyika; I) South Africa -...www.jamiiforums.com
WananchiHivi una akili timamu?
Aacha ramli chonganishi,mumbambikie halafu ulete mambo ya ramli kulingana na matamanio yako,acha ujinga.Kati ya makosa anayoshitakiwa nayo Mbowe mojawapo ni kufadhili ugaidi. Japokuwa anashitakiwa kwa makosa mengine lakini hili ndio kosa pekee linalomkabili yeye peke yake.
Yale mengine ya kupanga njama za kufanya ugaidi ameundanishwa na watuhumiwa wengine.
Kwa mujibu wa kifungu cha 13 cha POA akikutwa na hatia anaweza kufungwa miaka 15-20.
My take: kama chama tuna wakati mgumu sana. Tujifunze kuwa na succession plans.
Nadhani unasherehe sasaHivi una akili timamu?
Wazee wa geti kijani,msiwe na sherehe tena,wakati matamanio yenu yametimiaNadhani unasherehe sasa
acha mikwara mbuzi, anaweza fungwa na msifanye chochote. niambie mission ya chadema iliyowahi fanikiwa ktk nchi hiiHawatathubutu kabisa nakuapia wajaribu kufanya hivyo waone usione watu wamekaa kimya.Mauwaji ya kiholela yataanzia hapo.
Si nyie muliojipa mamlaka,sasa unaulizaje hilo,wakati huu.acha mikwara mbuzi, anaweza fungwa na msifanye chochote. niambie mission ya chadema iliyowahi fanikiwa ktk nchi hii
Unajua uhusika wako usitake tuuweke hadhararani.Mimi kamanda nahusika vipi na uovu wa kubambikia watu vyesi?
Mission iliyofanikiwa na binge kuingia kingi ni Mbowe na chadema kuwauzia CCM wabunge ili mabeberu waamini Demokrasiaacha mikwara mbuzi, anaweza fungwa na msifanye chochote. niambie mission ya chadema iliyowahi fanikiwa ktk nchi hii
Mpaka sasa msumbiji hapo washaanza kusogea wale jamaaHawatathubutu kabisa nakuapia wajaribu kufanya hivyo waone usione watu wamekaa kimya.Mauwaji ya kiholela yataanzia hapo.