Salaam!
Alikuwemo kama makamo wa kiongozi Mkuu wakati ule, lakini kwa kuwa Yeye kama Yeye binafsi ni mtu asiyependa mtu kuonewa na kuumizwa, alifunga safari Hadi Nairobi hospital kumpa pole ndugu yetu alipojeruhuwa na mishale ya wasijulikana.
Haikuishia hapo, ndugu yetu alipokimbia kwenda Ubelgiji kuhofia usalama wake, kiongozi wetu kwa kuwa ni mtu mvumilivu na mnyenyekevu,alifunga pia safari na kumhakikishia usalama wake, kwamba arudi tu nyumbani na hakuna baya litakalompata.
Sasa Leo ndugu yetu yupo pale Ukonga na kule SI pazuri, kesi Ile alopewa na mgambo wa Kijiji ni kubwa, na ukizingatia ndugu yetu bado hajapona vizuri , ni Imani YANGU kiongozi wetu atakwenda kumjulia Hali ndugu yetu pia pale Ukonga.
Hii itazidi kuudhihirishia umma wa wanafamilia kuwa kiongozi wetu hana hila wala Nia ovu dhidi ya ndugu yetu, na jambo hili likifanyika kwa haraka, litaondoa minnongono huku mtaani hivyo kudhihirisha Nia yake ya dhati kwenye 4RR anazozitangaza Kila kukicha. Na Sisi tayari tunajua kuwa mifumo Ile ndio mibaya, lakini kiongozi wetu ni mtu mzuri sana.
NB: Ukonga ni Maili chache tu ukilinganisha na Nairobi au kule Belgium.
Nawasilisha 🙏