GOSSO MZEKEZEKE
Senior Member
- Dec 13, 2013
- 180
- 204
Habari wanaJF.
Nilikuwa napitia TCU admission guiding book ya 2023/24 inaonesha ili uingie degree kutokea diploma ni lazima uwe na GPA ya 3.0, ila sijaona alternative kwa aliyepata G.P.A chini ya hapo? Kama mtu ana G.P.A ya 2.7 anafanyaje kuingia degree?
Kwa mfano mtu mwenye G.P.A chini ya 2.7 degree ili ajiunge Masters anaenda kusoma Postgraduate diploma kwanza, the Anajiunga na Masters, Kwa upande wa diploma kwenda degree sijaona mbadala. Naomba mwenye kujua anifahamishe.