hip hop uchwara
JF-Expert Member
- Jan 13, 2023
- 2,616
- 1,282
Wapigie TCU
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana ni foundation kwa ajili ya degreenenda open university kuna kozi nazan unasoma ukifaulu unakua na vigezo vya kwenda degree
Kama GPA yako inapumulia mashine nenda OUT. Kule utapiga foundation kwa mwaka mmoja baada ya hapo utadahiliwa kwenye kozi unayotaka hapo hapo OUT!Habari wanaJF.
Nilikuwa napitia TCU admission guiding book ya 2023/24 inaonesha ili uingie degree kutokea diploma ni lazima uwe na GPA ya 3.0, ila sijaona alternative kwa aliyepata G.P.A chini ya hapo? Kama mtu ana G.P.A ya 2.7 anafanyaje kuingia degree?
Kwa mfano mtu mwenye G.P.A chini ya 2.7 degree ili ajiunge Masters anaenda kusoma Postgraduate diploma kwanza, the Anajiunga na Masters, Kwa upande wa diploma kwenda degree sijaona mbadala. Naomba mwenye kujua anifahamishe.
Hapana; foundation haikupi uhalali wa kwenda chuo chochote bali ni hapo hapo OUT. Vyuo vikuu zamani vilikuwaga na mature age matriculation exams sijui siku hizi haipo?Aende open akapige foundation kabisa Kisha anajiunga chuo chochte
Hapana unakwenda chuo chochote huko vyuo vingine hakuna ndo wamepewa OUT tu mkuu fatiliaHapana; foundation haikupi uhalali wa kwenda chuo chochote bali ni hapo hapo OUT. Vyuo vikuu zamani vilikuwaga na mature age matriculation exams sijui siku hizi haipo?