GOSSO MZEKEZEKE
Senior Member
- Dec 13, 2013
- 180
- 204
Ukiona umeshindwa kufikisha kiwango hiko cha GPA basi uwezo wako ni mdogo hivyo huna sifa ya kudahiliwa ngazi ya Shahada.Habari wanaJF.
Nilikuwa napitia TCU admission guiding book ya 2023/24 inaonesha ili uingie degree kutokea diploma ni lazima uwe na GPA ya 3.0, ila sijaona alternative kwa aliyepata G.P.A chini ya hapo? Kama mtu ana G.P.A ya 2.7 anafanyaje kuingia degree?
Kwa mfano mtu mwenye G.P.A chini ya 2.7 degree ili ajiunge Masters anaenda kusoma Postgraduate diploma kwanza, the Anajiunga na Masters, Kwa upande wa diploma kwenda degree sijaona mbadala. Naomba mwenye kujua anifahamishe.
Sio tu ya 2023/24Habari wanaJF.
Nilikuwa napitia TCU admission guiding book ya 2023/24 inaonesha ili uingie degree kutokea diploma ni lazima uwe na GPA ya 3.0,
Wadau watu wa hovyo sana 🙏😂😂😂Sio tu ya 2023/24
Hata huko nyuma ilikuwa hivyo. Tena kuna mwaka ilikuwa 3.5, wadau wakalia lia ikashushwa kuwa 3.0
Hakuna mbadala, uko below marksHabari wanaJF.
Nilikuwa napitia TCU admission guiding book ya 2023/24 inaonesha ili uingie degree kutokea diploma ni lazima uwe na GPA ya 3.0, ila sijaona alternative kwa aliyepata G.P.A chini ya hapo? Kama mtu ana G.P.A ya 2.7 anafanyaje kuingia degree?
Kwa mfano mtu mwenye G.P.A chini ya 2.7 degree ili ajiunge Masters anaenda kusoma Postgraduate diploma kwanza, the Anajiunga na Masters, Kwa upande wa diploma kwenda degree sijaona mbadala. Naomba mwenye kujua anifahamishe.
Sasa pamoja na kushusha kutoka 3.5 to 3.0 bado watu wanataka na -2.9 🤣🤣Wadau watu wa hovyo sana 🙏😂😂😂
Wadau sio poa sijui wanaendaga kucheza au.....!???Sasa pamoja na kushusha kutoka 3.5 to 3.0 bado watu wanataka na -2.9 🤣🤣
Incorrect even open wana merits. Ya chini kama ya huyo bwana haendi mahaliOpen zoa zoa
Ushauri bora kabisa aende open kwa kina Nape na Simbachawene.Hakuna mbadala..
We ukifeli f4 kuna mbadala zaidi ya kurisiti?
Labda wale Open University km wana mbadala
nenda open university kuna kozi nazan unasoma ukifaulu unakua na vigezo vya kwenda degreeHabari wanaJF.
Nilikuwa napitia TCU admission guiding book ya 2023/24 inaonesha ili uingie degree kutokea diploma ni lazima uwe na GPA ya 3.0, ila sijaona alternative kwa aliyepata G.P.A chini ya hapo? Kama mtu ana G.P.A ya 2.7 anafanyaje kuingia degree?
Kwa mfano mtu mwenye G.P.A chini ya 2.7 degree ili ajiunge Masters anaenda kusoma Postgraduate diploma kwanza, the Anajiunga na Masters, Kwa upande wa diploma kwenda degree sijaona mbadala. Naomba mwenye kujua anifahamishe.
Kwani Open wanaenda kinyume na TCU hiyo ni minimum requirement kwa vyuo vyote. Hata ukienda kusoma nje ya nchi lazima uwe na ile minimum requirement iliyowekwa na TCU.Ushauri bora kabisa aende open kwa kina Nape na Simbachawene.
Open unafanya foundation CourseKwani Open wanaenda kinyume na TCU hiyo ni minimum requirement kwa vyuo vyote. Hata ukienda kusoma nje ya nchi lazima uwe na ile minimum requirement iliyowekwa na TCU.
Hii kali...Sasa pamoja na kushusha kutoka 3.5 to 3.0 bado watu wanataka na -2.9 🤣🤣
open university imeruhusiwa kutoa kozi mbadala ya foundation kwa watu waliofeli diploma, maana kila sehem ukifeli kuna mbadala mfano ukifeli form four au six kuna kurisit , ukifeli undegraduate degree kuna postgraduate diploma unasoma ili uende master je ukifeli diploma ndio urudie diploma nzima jibu ni hapana open wameruhusiwa kutoa foundation courseKwani Open wanaenda kinyume na TCU hiyo ni minimum requirement kwa vyuo vyote. Hata ukienda kusoma nje ya nchi lazima uwe na ile minimum requirement iliyowekwa na TCU.
Hiyo na kubaliana nawe nilikuwa na sahihisha wanaosema OUT inapokea chini ya GPA ya 3 kwenda moja kwa moja degree bila kusema kwamba lazima apitie kwenye foundation coarse.open university imeruhusiwa kutoa kozi mbadala ya foundation kwa watu waliofeli diploma, maana kila sehem ukifeli kuna mbadala mfano ukifeli form four au six kuna kurisit , ukifeli undegraduate degree kuna postgraduate diploma unasoma ili uende master je ukifeli diploma ndio urudie diploma nzima jibu ni hapana open wameruhusiwa kutoa foundation course