Kama aliyesoma diploma ana G.P.A chini ya 3.0 anafanyaje kuingia degree?

Mbona kama swali la kijinga sana Aendee chuo anachotaka kujiunga wampe joining instruction ILA KASOME USISUBILIE UAJIRIWE KASOME UPATE MAARIFA KWA SABABU MEANING OF WORD EDUCATION NI SKILLS,KNOWLEDGE AND ATTITUDE UKIENDA CHUONI HUKO UTOKE NA VITU HIVYO VITATU
 
Aende open akapige foundation kabisa Kisha anajiunga chuo chochte
 
Kama GPA yako inapumulia mashine nenda OUT. Kule utapiga foundation kwa mwaka mmoja baada ya hapo utadahiliwa kwenye kozi unayotaka hapo hapo OUT!
 
Aende open akapige foundation kabisa Kisha anajiunga chuo chochte
Hapana; foundation haikupi uhalali wa kwenda chuo chochote bali ni hapo hapo OUT. Vyuo vikuu zamani vilikuwaga na mature age matriculation exams sijui siku hizi haipo?
 
Hapana; foundation haikupi uhalali wa kwenda chuo chochote bali ni hapo hapo OUT. Vyuo vikuu zamani vilikuwaga na mature age matriculation exams sijui siku hizi haipo?
Hapana unakwenda chuo chochote huko vyuo vingine hakuna ndo wamepewa OUT tu mkuu fatilia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…