Hakuna mgogoro mangungu amepuuzwa na kila mwanasimba, feedback aliyopata hata yeye hakutegemea kbsJana huenda ilikuwa mwanzo wa anguko la Simba. Timu ilicheza chini ya kiwango, na hata lile goli lilipatikana kwa bahati na maamuzi ya refa.
Hali si nzuri kabisa, na mechi zijazo zinaweza kuwa ngumu zaidi ikiwa migogoro ndani ya timu itaendelea bila kutatuliwa.
Matimu yote hayo ni ya hovyo na ni vyombo vya kipropaganda vya CCMMangungu ana watu wazito nyuma yake na agenda yao kubwa ni kuimilikisha Simba kwa familia ya gsm.
Hawajali Mo akiondoka ,wala Simba ikiyumba.Agenda yao hii wanaipigania kupitia kwa mangungo na baadhi ya watu wajinga wanaotaka kumrudisha manara.
Siasa zinaharibu sana mpira wetu,maana kuna watu wanataka Simba ianguke kwanza huku wakiipandisha yanga.
Wanachama wa Simba wanapaswa kuamka na kupinga serikali kuingilia mambo ya mpira.
BMT ijitenge mbali na kutumika na watu kuharibu mpira kwa manufaa ya kisiasa na sifa za yanga za kijinga
Jana huenda ilikuwa mwanzo wa anguko la Simba. Timu ilicheza chini ya kiwango, na hata lile goli lilipatikana kwa bahati na maamuzi ya refa.
Hali si nzuri kabisa, na mechi zijazo zinaweza kuwa ngumu zaidi ikiwa migogoro ndani ya timu itaendelea bila kutatuliwa.
Ni mangungu ni kirusi hatari sana.Huwezi kutatua mgogoro ulioundwa kwa makusudi, ni either umalizane na muundaji wa mgogoro kimgogoro au umfukuze kabisa.
Magungu hajawahi kuwa mwanasimba aliletwa na maadui wa simba kwa kutumia mifumo yao wanayoitumia, hivyo sio kwamba magungu ana watu nyuma yake bali mangungu ni pikipiki posta wa hao watu.
Uziri Mo kashamshtukia