Kama AMRI 10 na sio Sheria za Musa tu ziliishia Msalabani; nini Maana ya DHAMBI kwa dunia?

Kama AMRI 10 na sio Sheria za Musa tu ziliishia Msalabani; nini Maana ya DHAMBI kwa dunia?

Sadaka ya damu ya mtu si ya kichawi na kishetani hiyo?
Hapa ni mambo ya rohoni wewe mtu wa mwili huwezi kuelewa.Mbona nyinyi mnaenda kubusu jiwe jeusi mkiwa hamjavaa chupi na kumpiga shetani mawe , shetani anapigwa na mawe?
 
Hapa ni mambo ya rohoni wewe mtu wa mwili huwezi kuelewa.Mbona nyinyi mnaenda kubusu jiwe jeusi mkiwa hamjavaa chupi na kumpiga shetani mawe , shetani anapigwa na mawe?

Hahahaha.

Mkibambwa pazuri mnaanza ngonjera.

Huyo Mungu mwenye ubaguzi mie simkubali.
 
sivyo dada, ni tendo la kiimani zaidi,kama mnavyofanya nyie kuipiga nguzo mawe mkiamini mnampiga shetani, pole kwa kuzika.

Si mnakula nyama na damu ya Yesu, hiyo kama si cannibalism ni nini?

Pale si jiwe tu, pepo la kishetani kweli lile linafungwa pale.

Kwani wachungaji wenu wanapokemea mapepo mnayaona? Fikiri.
 
Si mnakula nyama na damu ya Yesu, hiyo kama si cannibalism ni nini?

DADA YANGU HAYA MAMBO NI NJE YA UWEZO WAKO PENGINE,SI TUSI BALI NJE YA UWEZO! NOTE NIJAMBO LA KIIMANI ZAIDI
NI IMANI DADA.
 
Si mnakula nyama na damu ya Yesu, hiyo kama si cannibalism ni nini?

DADA YANGU HAYA MAMBO NI NJE YA UWEZO WAKO PENGINE,SI TUSI BALI NJE YA UWEZO! NOTE NIJAMBO LA KIIMANI ZAIDI
NI IMANI DADA.
 
Ukishakuwa mtoto hutendi dhambi bali unafanya makosa, pia ukiweza kufuata amri hizzi kuu mbili tayari umetimiza zote zilizobakia kwa maana ni sehemu ya hizi kuu mbili za upendo kwa Mungu na kwa jirani.
 
Sabato haifuati time zones bali mahali ulipo na ni jua kuzama Hadi kuzama siku ya Saba pia amri ya sabato inamlenga mtu binafsi siyo makundi ya watu yenyewe inasema ikumbuke na siyo muikumbuke au ikumbukeni
Jamani amri kumi hizi hapa
Mkulu hapo ni bibilia na uelewa wetu, dini au dhehebu ukitaka nitakuambia ila ningekuambia kule kwenye jukwaa la dini hapa ni intelligence and facts sio ligi. Maana thread hii sio mahubiri au kubadilishana dini. Hapa ni biblical facts vs our current understanding.
Jibu thread tushirikishe mtazamo wako juu ya mada toa changamoto.
100% thanks

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukishakuwa mtoto hutendi dhambi bali unafanya makosa, pia ukiweza kufuata amri hizzi kuu mbili tayari umetimiza zote zilizobakia kwa maana ni sehemu ya hizi kuu mbili za upendo kwa Mungu na kwa jirani.
Dhambi ni Uasi wa sheria za Mungu.
Amri kumi Zinaonyesha Upendo kwa Mungu na Kwa mwanadamu. Yesu hakutoa sheria mpya.
Sheria haikoi, ila inakuonyesha makosa, na kukuelekeza kwa Yesu ili Utakasike ufae kwa Ufalme wa Mungu.
Kila mwanadamu anayevunja sheria anatenda dhambi bila kujali ni mtoto wa Yesu au wa dunia.

"Hapo ndipo penye subira ya WATAKATIFU, Hao wazishikao amri za Mungu na kuwa na imani ya Yesu" Ufunuo 14:24
Yesu Ni mwokozi wako kwa sababu KAKUOKOA, Kutoka Dhambini na atakuchukua siku ya mwisho (Glorification)
Yesu ni Bwana wako, pale unapotii maagizo Yake na sheria zake. Hakuna mwana anayesema anampenda Baba yake huku anavunja maagizo Yake.

Katika hilo bibilia Iko wazi. Hakuhitaji ufafanuzi.
Mwamini Yesu, Tii maangizo yake zikiwemo amri kumi ambazo ndani yake Imo sabato Ya SIKU ya Saba.
Upendo bila utii, ni ukaidi na maigizo.
Mungu akubariki mtakatifu wa Bwana,
 
Back
Top Bottom