kama anakupenda kwanini akurekodi?

Nia aina ya watu, Kuna aina mbalimbali za watu.
Kuna watu unachoona wewe ni kibaya wao wanaona ninkizuri.
Utashangaa wenyewe wanafurahia kujirekodi na kurusha ili watu wawaone wanavyokuwa wakiwa katika hali hiyo.
Hizo kuomba msamaha ni geresha tu lakini nyuma ya pazia wanagonga kwa furaha ya kuonekana.
Angalia hata radhi yenyewe inavyoombwa kishkajishkaji tu ili jamii impokee.
Ili kuuthibitisha hili muda sio mrefu kuna wengine watajirekodi na kurusha.
Hii ndio dunia ya digitali, na watu wa digitari. Mambo ya aibu Sasa hivi hayapo kwa baadhi ya watu.
Ona mfano, wale wanaojiuza mbona wanajionesha wazi tu tena mchana kweupe.
Wale kwenye Magoti mbona wanakaa kwenye stuli nje ya mirango yao, paja wazi sura wazi tena ukipita unaambiwa karibu, tena mchana kweupe pe.
Wewe msichana mwingine unaweza kufanya hivyo ?
Wewe mwanamme ukimkuta dada yako kajianika hapo utanyaje ?
Dunia ya sasa ndivyo ilivyo.
Halafu utamsikia aliyejirekodi ati anaomba msamaha kwa mapozi kabisa.
" I'm so sorry, I'm a human being you know"
Hapo Ni Zuga tu, yaani hangaisha bwege.
Subiribini Hadi watakapojirekodi Tena ndio mtajua Wahenga walivyo sema
" Wastara Hadhumbuki,
Wambili Havai Moja "
 
vipi kuhusu hawa wanaweka picha mitandaoni wana khanga moja au wanaonesha cameltoees zao au wanaokatika na ku twerk nyimbo za bongo flavour?? hao hawajidharirishi?/ wanawake wa africa wanajidharirisha wao wenyewe ndio maana kila siku watu wanawaita malaya na kuonekana wasiokuwa na akili hiyo ya menina ni mwendelezo tuu na wala sio jambo la kustusha
 
At





Atleast ww umeongea vitu vinaeleweka sana.
 
Mkuu nlikuw sina connection, n mim ntupie kw PM niicheki kidg
 
Mtoto anakulana hatari yaani Aise mwenye namba take anipe pls walau nipige show hata ya laki potelea mbali
 
Kifupi ni kwamba mnakuwa mnajua kuwa kamera inarekodi, acheni unafiki wa kujifanya kama ni victims...

Mwanamke unaona kabisa anarekebisha angle ya kamera, macho anayakutanisha na lens ya kamera...

Video zinavuja unaanza tena uzushi wa sijui "i stand with fulani", shubamiti zenu mnasimama naye kwani yeye miguu yake haimtoshi kusimama peke yake?
 
Anayejirkodi, anayerekodiwa wote hawana maana.
Hakuna anayelazimishwa kurekodiwa, huwa wanapenda wenyewe!
 
At






Atleast ww umeongea vitu vinaeleweka sana.
Amin Nakwambia Kama kusingekuwa na sheria ya kukataza kuwa uchiuchi hadharani.
Basi baadhi ya watu wangetembea uchii wa mnyama, mchana kweupe
Pe.
Baadhi ya watu wanavaa nguo kwakuwa tu.
Narudia tena kwakuwa tu wanaogopa kutiwa hatiani na vyombo vya ulinzi na usalama.
Bila ya hivyo mngeshudia hayo Matendo yakifanyika barabarani hadharani.
Dunia ya sasa watu wamezidiwa Staha na Wanyama.
Sasa hivi mnaona Mtoto na Mama yake mzazi wanaoana na kuishi Kama mke na mume.
Isingekuwa sheria za staha mngeona makubwa zaidi ya haya.
Ya Mitume kujirekodi,
Ya manabii Tito.
Sembuse wa Kioo cha Jamii.
Wanafanya kwa kukusudia kabisa wala msibabaishwe nao.
Ndivyo walivyo.
Ndivyo tulivyo.
 
Kula tunda hususani la mwanamke mzuri ni jambo la kuenziwa ndio maana tunarecord kabisa tuwe na kumbukumbu
 
Kuna mambo yanasikitisha sana...

Wanaopendana hawa-rekodiani nyuchi zao... ila kwa wanaochezena ndiyo hufanya hayo...

Wanaopendana, hawaombani picha za nyuchi zao, ila wanaochezeana ndiyo hufanya hivyo...

Ushaona wapi, mume na mke waka-rekodiana? Hakuna... Sababu aibu yako ndiyo aibu yake, and vice versa...

Ila kwa wanaochezena ndiyo hua na mambo ya liwalo na liwe...


Cc: mahondaw
 
kwanini ukubari kurecodiwa kama upo timamu?
 
Write your reply...wanawake bana eti video inatuzalilisha... mngekua mnajua mngekubali kufanya hayo

ni mwendo wa kushare tu video hakuna namna
 
Acha waendelee kujirekodi tupate vipya vya kuangalia.... ile kitu ni OG haina director wa la scene za kupangwa.....
Maana woote ni wajinga na hawaheshimu miili yao acha sisi watazamaji tufaidi
 
wanaume wa kizazi hiki wamepinda...ni sisi wanawake kuwa waangalifu, mkishaingia uwanjani ni kuhakikisha kila kitu kipo mezani,simu sijui nini….vipo mezani
 
Kwa MTU mwenye AKILI timamu, anayejiheshimu kweli kweli hawezi kukubali kurekodiwa akiwa mtupu, kamwe hawezi kukubali upuuzi WA aina hiyo.
 
Video kwa matumiz ya baadae Kama ya mwijaku na menina daaadek
 
Pole sana kwa kujiskia vibaya, wenzako pale ndio wanatafuta soko.[emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]
Nimemfuata menina dm kaniambia nisubir Kwanza hili sekeseke lipite Kwanza nadhan wiki ijayo Nala tunda Kama mwijaku mshamba toka kigoma anaejifanya analijua jiji Kama wazaramo wenye dar yao[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…