Hawachi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2018
- 12,010
- 54,194
Zitaje video ambazo kwa uwelewa wako zimerecodiwa bila wahusika kujua ama wahusika wanaonekana wamelazimishwa. Acha kutetea ujinga...watu wengi wanarekodiwa bila kujua na wengine
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zitaje video ambazo kwa uwelewa wako zimerecodiwa bila wahusika kujua ama wahusika wanaonekana wamelazimishwa. Acha kutetea ujinga...watu wengi wanarekodiwa bila kujua na wengine
Kwasababu gani wanandoa au wapenzi wanajiachia mpaka wanafikia kujirekodi video za uchi? Kwani mnakua hamridhiki kuangaliana bila kurekodiana?
Umejijibu naonaWe utajuaje labda ile simu aliotumia ilikua ya bwana ake na amefanya ivo kwasababu ya mapenzi na kumuamini uyo mwanaume.
vipi kuhusu hawa wanaweka picha mitandaoni wana khanga moja au wanaonesha cameltoees zao au wanaokatika na ku twerk nyimbo za bongo flavour?? hao hawajidharirishi?/ wanawake wa africa wanajidharirisha wao wenyewe ndio maana kila siku watu wanawaita malaya na kuonekana wasiokuwa na akili hiyo ya menina ni mwendelezo tuu na wala sio jambo la kustushaKwasababu gani wanandoa au wapenzi wanajiachia mpaka wanafikia kujirekodi video za uchi? Kwani mnakua hamridhiki kuangaliana bila kurekodiana?
Kwani mwaka gani itakua mwisho wa kumdharirisha mwanamke?africa inaongoza kwa kudharirisha mwanamke😢😢Its hurts!
Nia aina ya watu, Kuna aina mbalimbali za watu.
Kuna watu unachoona wewe ni kibaya wao wanaona ninkizuri.
Utashangaa wenyewe wanafurahia kujirekodi na kurusha ili watu wawaone wanavyokuwa wakiwa katika hali hiyo.
Hizo kuomba msamaha ni geresha tu lakini nyuma ya pazia wanagonga kwa furaha ya kuonekana.
Angalia hata radhi yenyewe inavyoombwa kishkajishkaji tu ili jamii impokee.
Ili kuuthibitisha hili muda sio mrefu kuna wengine watajirekodi na kurusha.
Hii ndio dunia ya digitali, na watu wa digitari. Mambo ya aibu Sasa hivi hayapo kwa baadhi ya watu.
Ona mfano, wale wanaojiuza mbona wanajionesha wazi tu tena mchana kweupe.
Wale kwenye Magoti mbona wanakaa kwenye stuli nje ya mirango yao, paja wazi sura wazi tena ukipita unaambiwa karibu, tena mchana kweupe pe.
Wewe msichana mwingine unaweza kufanya hivyo ?
Wewe mwanamme ukimkuta dada yako kajianika hapo utanyaje ?
Dunia ya sasa ndivyo ilivyo.
Halafu utamsikia aliyejirekodi ati anaomba msamaha kwa mapozi kabisa.
" I'm so sorry, I'm a human being you know"
Hapo Ni Zuga tu, yaani hangaisha bwege.
Subiribini Hadi watakapojirekodi Tena ndio mtajua Wahenga walivyo sema
" Wastara Hadhumbuki,
Wambili Havai Moja "
Mkuu nlikuw sina connection, n mim ntupie kw PM niicheki kidgPole sana menina..
Ila nimeangalia ile video iliovuja ni kwamba haujarekodiwa ila mmejirecord wote,unaangalia camera kwa bashasha kabisa ukiichekea na kuililia camera kimahaba ya hali ya juu. Unasimama unaenda kuiset mwenyewe halafu unakuja hapa kusema umerekodiwa???
Pole sana mzeemama
Amin Nakwambia Kama kusingekuwa na sheria ya kukataza kuwa uchiuchi hadharani.At
Atleast ww umeongea vitu vinaeleweka sana.
kwanini ukubari kurecodiwa kama upo timamu?Kwasababu gani wanandoa au wapenzi wanajiachia mpaka wanafikia kujirekodi video za uchi? Kwani mnakua hamridhiki kuangaliana bila kurekodiana?
Kwani mwaka gani itakua mwisho wa kumdharirisha mwanamke?africa inaongoza kwa kudharirisha mwanamke[emoji22][emoji22]Its hurts!
Acha waendelee kujirekodi tupate vipya vya kuangalia.... ile kitu ni OG haina director wa la scene za kupangwa.....Yes i admit nimemuonea huruma menina kwasababu ana mtoto .. ambae anamuhitaji mama ake lakini unafikiri uyo menina atakua yuko okay?atakua over stressed mpaka mwaka uishe huu. Vile vile nimesema kuacha kuwadharirisha wanawake kwa mfano wanawake wengine ambao wanarekodiwa bila kujua utakuta a guy invited his girlfriend afu ametegesha camera..watu wengi wanarekodiwa bila kujua na wengine wanajirekodigi wenyewe kama yule biriani alijirekodi mwenyewe na wengine wote ..so in general kama watu wazima inahitajika kujiheshimu sio eti mmeachana basi ndo unapata nafaso ya kupost zile videos..
Video kwa matumiz ya baadae Kama ya mwijaku na menina daaadekKwasababu gani wanandoa au wapenzi wanajiachia mpaka wanafikia kujirekodi video za uchi? Kwani mnakua hamridhiki kuangaliana bila kurekodiana?
Kwani mwaka gani itakua mwisho wa kumdharirisha mwanamke?africa inaongoza kwa kudharirisha mwanamke[emoji22][emoji22]Its hurts!
Nimemfuata menina dm kaniambia nisubir Kwanza hili sekeseke lipite Kwanza nadhan wiki ijayo Nala tunda Kama mwijaku mshamba toka kigoma anaejifanya analijua jiji Kama wazaramo wenye dar yao[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Pole sana kwa kujiskia vibaya, wenzako pale ndio wanatafuta soko.[emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]