kama anakupenda kwanini akurekodi?

kama anakupenda kwanini akurekodi?

Nimemfuata menina dm kaniambia nisubir Kwanza hili sekeseke lipite Kwanza nadhan wiki ijayo Nala tunda Kama mwijaku mshamba toka kigoma anaejifanya analijua jiji Kama wazaramo wenye dar yao[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hongera[emoji867]
 
Mtu unaenda kwa mwanaume na akili timamu, anakuremodi unaona na unajua madhara yake why ukubali siku zote mwanaume ana mu operate mwanamke kutokana na akili za mwanamke mwenyewe jinsi zilivyo... Katika hili wanawake mjilaumu wenyewe mkilaumu wanaume mtakua mnawaomea bure
 
Anayejirkodi, anayerekodiwa wote hawana maana.
Hakuna anayelazimishwa kurekodiwa, huwa wanapenda wenyewe!
1571205507545.png
si unaona mambo haya
 
MabAharia mnamkumbuka yule jamaa wa dodoma na yule demu wake mweupe ?
 
Back
Top Bottom