Kama anayosema Gambo yanatoka moyoni, basi anapaswa kuonesha njia na kuwaomba msamaha CHADEMA kwa aliyowafanyia

Synthesizer

Platinum Member
Joined
Feb 15, 2010
Posts
12,699
Reaction score
22,598
Nimekuwa nikimsikiliza sana Gambo kwa mengi anayosema. Ukweli nimetokea kuwa mtu ambaye namfurahia sana, kwa kuwa amekuwa mtu anaetoa kauli makini zenye kujenga bila hofu katika kuielekeza na hata kuikosoa serikali ambayo inaongozwa na chama chake.

Mtazamo niliokuwa nao juu ya Gambo akiwa RC Arusha na nilionao juu yake leo hii ni tofauti sana. Ameni-impress sana, hata nahofia CCM huenda muda wowote wakampa uwaziri ili kujaribu kumnyamazisha, kama ilivyo kawaida yao. Weka siasa pembeni, Gambo ni mtu anaongea vitu very constructive Bungeni. Sikumtegemea hilo kabisa.

Pamoja na kauli nzuri, zenye mantiki anazotoa Gambo, bado nakumbuka mitafaruku na kwa kiasi fulani unyanyasaji aliofanya kwa Chadema akiwa RC Arusha. Hata kama hakufanya hayo maovu yeye, alikuwa na na jukumu la kuwalinda watu wa Arusha kama RC pale. Nimemuelewa sana, kwamba alikuwa katika mazingira magumu na ilibidi tu afanye aliyofanya, au asifanye aliyotakiwa kufanya kama RC. Wengi wanasema kwa nini hakujiuzuru, lakini ni wazi kwamba angefanya hivyo ingekuwa kutangaza vita hadharani dhidi ya raisi wa wakati huo, kwa hiyo isngekuwa vema kwake kujiuzuru.

Hata hivyo, namshauri Gambo, kama kweli anayosema leo yanatoka moyoni, basi awaombe radhi Chadema hadharani, hata ndani ya vikao vya Bunge. Na wapo wengi walikuwa katika mazingira ya Gambo, nao wanaweza kufanya hivyo.

Kuomba radhi ni uungwana, na tunajua ni kweli awamu iliyopita ilifanya unyanyasaji wa juu dhidi ya Chadema kama Chama na viongozi wake mmoja mmoja. Basi Gambo fungua njia, omba radhi yaishe, na itakufanya uzidi kuwa na watu wengi wanaofurahia sana pointi zako za makini ukiwa Bungeni.
 
Mrisho Gambo. Dictator kafa watu wanafunguka tu.
Kweli Mkuu, basi kama wanajua walishinikizwa kufanya uovu waombe radhi hadharani kabla hatujaanzisha Nuremberg Trials za Tanzania. Hata Afrika Kusini walioomba radhi kwenye Truth and Reconciliation Commission ya Desmond Tutu walisamehewa.
 
Nimekuwa nikimsikiliza sana Gambo kwa mengi anayosema. Ukweli nimetokea kuwa mtu ambaye namfurahia sana, kwa kuwa amekuwa mtu anaetoa kauli makini zenye kujenga bila hofu katika kuielekeza na hata kuikosoa serikali ambayo inaongozwa na chama chake.

Mtazamo niliokuwa nao juu ya Gambo akiwa RC Arusha na nilionao juu yake leo hii ni tofauti sana. Ameni-impress sana, hata nahofia CCM huenda muda wowote wakampa uwaziri ili kujaribu kumnyamazisha, kama ilivyo kawaida yao. Weka siasa pembeni, Gambo ni mtu anaongea vitu very constructive Bungeni. Sikumtegemea hilo kabisa.

Pamoja na kauli nzuri, zenye mantiki anazotoa Gambo, bado nakumbuka mitafaruku na kwa kiasi fulani unyanyasaji aliofanya kwa Chadema akiwa RC Arusha. Hata kama hakufanya hayo maovu yeye, alikuwa na na jukumu la kuwalinda watu wa Arusha kama RC pale. Nimemuelewa sana, kwamba alikuwa katika mazingira magumu na ilibidi tu afanye aliyofanya, au asifanye aliyotakiwa kufanya kama RC. Wengi wanasema kwa nini hakujiuzuru, lakini ni wazi kwamba angefanya hivyo ingekuwa kutangaza vita hadharani dhidi ya raisi wa wakati huo, kwa hiyo isngekuwa vema kwake kujiuzuru.

Hata hivyo, namshauri Gambo, kama kweli anayosema leo yanatoka moyoni, basi awaombe radhi Chadema hadharani, hata ndani ya vikao vya Bunge. Na wapo wengi walikuwa katika mazingira ya Gambo, nao wanaweza kufanya hivyo. Kuomba radhi ni uungwana, na tunajua ni kweli awamu iliyopita ilifanya unyanyasaji wa juu dhidi ya Chadema kama Chama na viongozi wake mmoja mmoja. Basi Gambo fungua njia, omba radhi yaishe, na itakufanya uzidi kuwa na watu wengi wanaofurahia sana pointi zako za makini ukiwa Bungeni.
Ajitokeze hadharani aombe radhi na kuriri aliyoyafanya,ili na wengini, akina Mnyeti,Katambi,Ally na wengineo wasione uvivu kufanya hivyo,uungwana ni vitendo.
 
Nimekuwa nikimsikiliza sana Gambo kwa mengi anayosema. Ukweli nimetokea kuwa mtu ambaye namfurahia sana, kwa kuwa amekuwa mtu anaetoa kauli makini zenye kujenga bila hofu katika kuielekeza na hata kuikosoa serikali ambayo inaongozwa na chama chake.

Mtazamo niliokuwa nao juu ya Gambo akiwa RC Arusha na nilionao juu yake leo hii ni tofauti sana. Ameni-impress sana, hata nahofia CCM huenda muda wowote wakampa uwaziri ili kujaribu kumnyamazisha, kama ilivyo kawaida yao. Weka siasa pembeni, Gambo ni mtu anaongea vitu very constructive Bungeni. Sikumtegemea hilo kabisa.

Pamoja na kauli nzuri, zenye mantiki anazotoa Gambo, bado nakumbuka mitafaruku na kwa kiasi fulani unyanyasaji aliofanya kwa Chadema akiwa RC Arusha. Hata kama hakufanya hayo maovu yeye, alikuwa na na jukumu la kuwalinda watu wa Arusha kama RC pale. Nimemuelewa sana, kwamba alikuwa katika mazingira magumu na ilibidi tu afanye aliyofanya, au asifanye aliyotakiwa kufanya kama RC. Wengi wanasema kwa nini hakujiuzuru, lakini ni wazi kwamba angefanya hivyo ingekuwa kutangaza vita hadharani dhidi ya raisi wa wakati huo, kwa hiyo isngekuwa vema kwake kujiuzuru.

Hata hivyo, namshauri Gambo, kama kweli anayosema leo yanatoka moyoni, basi awaombe radhi Chadema hadharani, hata ndani ya vikao vya Bunge. Na wapo wengi walikuwa katika mazingira ya Gambo, nao wanaweza kufanya hivyo.

Kuomba radhi ni uungwana, na tunajua ni kweli awamu iliyopita ilifanya unyanyasaji wa juu dhidi ya Chadema kama Chama na viongozi wake mmoja mmoja. Basi Gambo fungua njia, omba radhi yaishe, na itakufanya uzidi kuwa na watu wengi wanaofurahia sana pointi zako za makini ukiwa Bungeni.
Mnafique tu huyo political opportunist anayebadilika kama kinyonga kulingana na mazingira

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa taarifa yako gambo ni mnafki mkubwa na mshenzi Sana fuatilia mambo yake tokea akiwa Dc KOROGWE.
Kiufupi gambo anatafuta huruma ya watu wa Arusha mjini kwani anajua wanamchukia kwasababu hawakumchagua kuwa mbunge wao.
Alitangazwa tu na NEC
Gambo anatapatapa na unafki wake.
Yote ya ovyo yaliyofanyika arusha alipokuwa RC aliyamastermind yeye akishirikiana na mwendazake.
Asilete upumbavu wake ni kheri akae kimya manake anajiaibisha tu pumbavu zake
 
Mzee wa degree za vyu.pi

Hakuna kazi nyingine anaweza fanya zaidi ya siasa,

Hivyo acha aende upepo unakovuma Kwa malengo ya kukua kisiasa.

Bila kiki wanasiasa wetu Bado wanaona hawajawa wanasiasa.
 
Nimekuwa nikimsikiliza sana Gambo kwa mengi anayosema. Ukweli nimetokea kuwa mtu ambaye namfurahia sana, kwa kuwa amekuwa mtu anaetoa kauli makini zenye kujenga bila hofu katika kuielekeza na hata kuikosoa serikali ambayo inaongozwa na chama chake.

Mtazamo niliokuwa nao juu ya Gambo akiwa RC Arusha na nilionao juu yake leo hii ni tofauti sana. Ameni-impress sana, hata nahofia CCM huenda muda wowote wakampa uwaziri ili kujaribu kumnyamazisha, kama ilivyo kawaida yao. Weka siasa pembeni, Gambo ni mtu anaongea vitu very constructive Bungeni. Sikumtegemea hilo kabisa.

Pamoja na kauli nzuri, zenye mantiki anazotoa Gambo, bado nakumbuka mitafaruku na kwa kiasi fulani unyanyasaji aliofanya kwa Chadema akiwa RC Arusha. Hata kama hakufanya hayo maovu yeye, alikuwa na na jukumu la kuwalinda watu wa Arusha kama RC pale. Nimemuelewa sana, kwamba alikuwa katika mazingira magumu na ilibidi tu afanye aliyofanya, au asifanye aliyotakiwa kufanya kama RC. Wengi wanasema kwa nini hakujiuzuru, lakini ni wazi kwamba angefanya hivyo ingekuwa kutangaza vita hadharani dhidi ya raisi wa wakati huo, kwa hiyo isngekuwa vema kwake kujiuzuru.

Hata hivyo, namshauri Gambo, kama kweli anayosema leo yanatoka moyoni, basi awaombe radhi Chadema hadharani, hata ndani ya vikao vya Bunge. Na wapo wengi walikuwa katika mazingira ya Gambo, nao wanaweza kufanya hivyo.

Kuomba radhi ni uungwana, na tunajua ni kweli awamu iliyopita ilifanya unyanyasaji wa juu dhidi ya Chadema kama Chama na viongozi wake mmoja mmoja. Basi Gambo fungua njia, omba radhi yaishe, na itakufanya uzidi kuwa na watu wengi wanaofurahia sana pointi zako za makini ukiwa Bungeni.
Kuna vijana walisema gambo rc na gambo mbunge wakikutana hapatakalika hapo!
 
Naona ngoma hii ikiwaangukia mastaa wawili wa mwendazake.......mmoja ambaye ndiye star master wa kila kitu bado yupo mtaani...anakula his last days in public
 
Ujinga wa siasa na watega masikio kusikia kile wanasiasa wanasema, hutegemea kusikia uwongouwongo huku wanasiasa wengi nao wakipenda kusema uwongo

Ikitokea mwanasiasa mkweli hubashiliwa vitu vingi visivyotokana na ukweli wa moyo wake, Kwa hiyo yeyote mkweli ndani ya CCM hastahili kuwa CCM?

Mbona kina apostle Msigwa ni waongo wakubwa wale walimsingizia Katibu mkuu Kinana?

Kina Mbowe, badala ya kusema alikunywa gongo akaanguka na kuvunjika mguu, badala yake akasema katekwa😛, Kwa mtazamo huo, Mbowe na Msigwa hawastahili kuwa Chadema ila CCM??

Jinga kabisa
 
Nimekuwa nikimsikiliza sana Gambo kwa mengi anayosema. Ukweli nimetokea kuwa mtu ambaye namfurahia sana, kwa kuwa amekuwa mtu anaetoa kauli makini zenye kujenga bila hofu katika kuielekeza na hata kuikosoa serikali ambayo inaongozwa na chama chake.

Mtazamo niliokuwa nao juu ya Gambo akiwa RC Arusha na nilionao juu yake leo hii ni tofauti sana. Ameni-impress sana, hata nahofia CCM huenda muda wowote wakampa uwaziri ili kujaribu kumnyamazisha, kama ilivyo kawaida yao. Weka siasa pembeni, Gambo ni mtu anaongea vitu very constructive Bungeni. Sikumtegemea hilo kabisa.

Pamoja na kauli nzuri, zenye mantiki anazotoa Gambo, bado nakumbuka mitafaruku na kwa kiasi fulani unyanyasaji aliofanya kwa Chadema akiwa RC Arusha. Hata kama hakufanya hayo maovu yeye, alikuwa na na jukumu la kuwalinda watu wa Arusha kama RC pale. Nimemuelewa sana, kwamba alikuwa katika mazingira magumu na ilibidi tu afanye aliyofanya, au asifanye aliyotakiwa kufanya kama RC. Wengi wanasema kwa nini hakujiuzuru, lakini ni wazi kwamba angefanya hivyo ingekuwa kutangaza vita hadharani dhidi ya raisi wa wakati huo, kwa hiyo isngekuwa vema kwake kujiuzuru.

Hata hivyo, namshauri Gambo, kama kweli anayosema leo yanatoka moyoni, basi awaombe radhi Chadema hadharani, hata ndani ya vikao vya Bunge. Na wapo wengi walikuwa katika mazingira ya Gambo, nao wanaweza kufanya hivyo.

Kuomba radhi ni uungwana, na tunajua ni kweli awamu iliyopita ilifanya unyanyasaji wa juu dhidi ya Chadema kama Chama na viongozi wake mmoja mmoja. Basi Gambo fungua njia, omba radhi yaishe, na itakufanya uzidi kuwa na watu wengi wanaofurahia sana pointi zako za makini ukiwa Bungeni.
na Ubunge aachie agombee kihalali 2025
 
Back
Top Bottom