Kama anayoyasema Mpina kuhusu Bashe na Sukari ni kweli ,Basi kuna Haja ya CHADEMA kumuunga mkono

Kama anayoyasema Mpina kuhusu Bashe na Sukari ni kweli ,Basi kuna Haja ya CHADEMA kumuunga mkono

Nehemia Kilave

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2022
Posts
1,414
Reaction score
3,118
Binafsi mbali na mapungufu ya kiuongozi yaliyopo katika chama changu CHADEMA bado naamini ni chama cha Ukombozi .

Hivyo kama Mpina yuko sahihi basi huu ndio muda muafaka wa kuonesha namna CDM tunavyouchukia ufisadi .

Vinginevyo tupate kauli ya chama kuhusu suala hili .
Soma pia ..

Kuna wakati humu ndani mwana-Jamii Forum mmoja aliwahi kusema kutafuta aliyemsafi ndani ya ccm ni sawa na kumtafuta mwenye bikira kwenye wodi ya wazazi...aliona mbali......

Mpina kwa kuwa amejitambua na sasa yuko nje atafakari tu na afanye maamuzi magumu
 
Mimi ninachoangalia Chai yenye Sukari iwepo Mezani na bei iwe nafuu.

Nimekunywa sana Chai bila Sukari enzi za Siasa za Ujamaa zilizofeli na wakati huo tulikuwa tunaimba ...zidumu Fikra... za kiongozi wetu aliyekuwa akitutesa.

3866766.jpg
 
Binafsi mbali na mapungufu ya kiuongozi yaliyopo katika chama changu CHADEMA bado naamini ni chama cha Ukombozi .

Hivyo kama Mpina yuko sahihi basi huu ndio muda muafaka wa kuonesha namna CDM tunavyouchukia ufisadi .

Vinginevyo tupate kauli ya chama kuhusu suala hili .
Soma pia ..

Yeye Mpina kama anaona huko yamemshinda ndiye ajiunge Chadema .
 
Back
Top Bottom