Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kumbe ni chai hiiHuyu mzee ananifurahishaga tu na story zake ππππ
Ahahahahaππππ€ππΆββοΈπΆββοΈkumbe ni chai hii
Ha ha ha haKina massawe nyie huwa hamjui kutongoza wakijipitisha mnamwaga hela π
Ingekuwaje kama angetaja jina langu?Ungemalizia na kibwagizo "Uzi tayari" ingependeza
Nilishindwa kumwelewa?Masawe na mapenzi wapi na wapi au alisema mwaisa?
Kwa nini π π π ?We mzee hapana kwakweli ππππ€£π€£π€£
Story zako tu hua zinanifurahishaππππKwa nini π π π ?
Wanaotumia ndumba wakati wa tendo hawasemagi hivyoπππ usijali spells wakati wa sex haziko hivyo na huwezi hata kujuaNikiwa maeneo ya mikoa ya kusini, baada ya kumaliza harakati zangu za hapa na pale, nikaamua kuingia kiwanja kimoja kwenye mida ya saa nne usiku angalau niweze kupata 'vibe'.
Baada ya kufika kaunta, nikaagiza mvinyo kama kawaida yangu huku nikiangalia kule na pale angalau tu, niweze kuona maua yaliyoletwa duniani ili kupendezesha uso wa dunia.
Ile kuangalia kushoto kwangu, nikaona zigo hatari mwenye sura ya ushawishi amekaa na wenzake kama watatu hivi; na wote ni wazuri, ila nilivutiwa zaidi na huyu mmoja.
Kutokana na ujasiri nilionao, nikamfuata pale mezani huku nikiwa nimeshika kinywaji changu kwenye glass; ile kumfikia tu, nikamuambia, 'baby roho yangu inanishawishi niongee na wewe'', akanijibu, ''usijali mpenzi niambie"; nikamuuliza, ''unakunywa kinywaji gani?'' Akaniambia, savana; baada ya pale muhudumu akamletea.
Baada ya pombe kupanda kichwani, nikaona mrembo ananifuata nilipokaa na kunilazimisha tucheze, huku akinisugua na zigo lake; ghafla uzalendo ukanishinda nikajikuta namwambia, ''baby leo tutaondoka wote''. Akasema sawa tu, ni wewe tu.
Baada ya masaa kwenda, ikabidi tuondoke na huyo mlimbwende mpaka nilipofikia.
Tulipokuwa ndani, alinipa shoo ya kibabe, mbaya zaidi wakati nachochea kuni, akaniuliza, ''we unaitwa nani?'' Nikamwambia, ''equation x''
Ghafla wakati nampelekea moto, akajisahau kutaja jina langu akawa anataja jina la mtu mwingine huku akilalamika, ''we masawe wewe, nakuambia kila siku uninunulie kiwanja na unifungulie biashara lakini hutaki, mi nimekupenda wewe tu, najitahidi kukupa staili zote lakini we masawe hutaki kunisikia"
Nilishtuka sana, nikajua huyu ndio wale wanaotumia ndumba kwa kutaja majina ya watu ili aweze kuongezewa salio.
Palipokucha nikampatia chake, na tukaagana; ilipofika mchana akawa ananitafuta tena, ila sikutaka kuonana naye tena; baadaye akanitumia ujumbe mfupi, kama nikiwa dodoma naweza pia kumtafuta; nami nikamjibu haina shida.
Swali ninalojiuliza mpaka sasa, kama asingekosea kutaja jina; kwangu hali ingekuwaje?
Wazoefu karibuni
Ebu tupe uzoefu huwa inakuwaje? π πWanaotumia ndumba wakati wa tendo hawasemagi hivyoπππ usijali spells wakati wa sex haziko hivyo na huwezi hata kujua
Siri za watu hizoEbu tupe uzoefu huwa inakuwaje? π π
Dogo unakaa iddle sana. Mpaka unaanza ku imagine stories za kipumbavu kama hizi. Ukikosa kazi basi angalau hata pitia pitia katiba au mkataba wa DP World. Itakusaidia kuliko kuwa iddle halafu unaanza kujiwazia mambo kama haya ya kipumbavu na uongo wa kitoto.Nikiwa maeneo ya mikoa ya kusini, baada ya kumaliza harakati zangu za hapa na pale, nikaamua kuingia kiwanja kimoja kwenye mida ya saa nne usiku angalau niweze kupata 'vibe'.
Baada ya kufika kaunta, nikaagiza mvinyo kama kawaida yangu huku nikiangalia kule na pale angalau tu, niweze kuona maua yaliyoletwa duniani ili kupendezesha uso wa dunia.
Ile kuangalia kushoto kwangu, nikaona zigo hatari mwenye sura ya ushawishi amekaa na wenzake kama watatu hivi; na wote ni wazuri, ila nilivutiwa zaidi na huyu mmoja.
Kutokana na ujasiri nilionao, nikamfuata pale mezani huku nikiwa nimeshika kinywaji changu kwenye glass; ile kumfikia tu, nikamuambia, 'baby roho yangu inanishawishi niongee na wewe'', akanijibu, ''usijali mpenzi niambie"; nikamuuliza, ''unakunywa kinywaji gani?'' Akaniambia, savana; baada ya pale muhudumu akamletea.
Baada ya pombe kupanda kichwani, nikaona mrembo ananifuata nilipokaa na kunilazimisha tucheze, huku akinisugua na zigo lake; ghafla uzalendo ukanishinda nikajikuta namwambia, ''baby leo tutaondoka wote''. Akasema sawa tu, ni wewe tu.
Baada ya masaa kwenda, ikabidi tuondoke na huyo mlimbwende mpaka nilipofikia.
Tulipokuwa ndani, alinipa shoo ya kibabe, mbaya zaidi wakati nachochea kuni, akaniuliza, ''we unaitwa nani?'' Nikamwambia, ''equation x''
Ghafla wakati nampelekea moto, akajisahau kutaja jina langu akawa anataja jina la mtu mwingine huku akilalamika, ''we masawe wewe, nakuambia kila siku uninunulie kiwanja na unifungulie biashara lakini hutaki, mi nimekupenda wewe tu, najitahidi kukupa staili zote lakini we masawe hutaki kunisikia"
Nilishtuka sana, nikajua huyu ndio wale wanaotumia ndumba kwa kutaja majina ya watu ili aweze kuongezewa salio.
Palipokucha nikampatia chake, na tukaagana; ilipofika mchana akawa ananitafuta tena, ila sikutaka kuonana naye tena; baadaye akanitumia ujumbe mfupi, kama nikiwa dodoma naweza pia kumtafuta; nami nikamjibu haina shida.
Swali ninalojiuliza mpaka sasa, kama asingekosea kutaja jina; kwangu hali ingekuwaje?
Wazoefu karibuni
π π πDogo unakaa iddle sana. Mpaka unaanza ku imagine stories za kipumbavu kama hizi. Ukikosa kazi basi angalau hata pitia pitia katiba au mkataba wa DP World. Itakusaidia kuliko kuwa iddle halafu unaanza kujiwazia mambo kama haya ya kipumbavu na uongo wa kitoto.
Kwa hiyo angepatia kutaja jina ungemnunulia kiwanja?.Nikiwa maeneo ya mikoa ya kusini, baada ya kumaliza harakati zangu za hapa na pale, nikaamua kuingia kiwanja kimoja kwenye mida ya saa nne usiku angalau niweze kupata 'vibe'.
Baada ya kufika kaunta, nikaagiza mvinyo kama kawaida yangu huku nikiangalia kule na pale angalau tu, niweze kuona maua yaliyoletwa duniani ili kupendezesha uso wa dunia.
Ile kuangalia kushoto kwangu, nikaona zigo hatari mwenye sura ya ushawishi amekaa na wenzake kama watatu hivi; na wote ni wazuri, ila nilivutiwa zaidi na huyu mmoja.
Kutokana na ujasiri nilionao, nikamfuata pale mezani huku nikiwa nimeshika kinywaji changu kwenye glass; ile kumfikia tu, nikamuambia, 'baby roho yangu inanishawishi niongee na wewe'', akanijibu, ''usijali mpenzi niambie"; nikamuuliza, ''unakunywa kinywaji gani?'' Akaniambia, savana; baada ya pale muhudumu akamletea.
Baada ya pombe kupanda kichwani, nikaona mrembo ananifuata nilipokaa na kunilazimisha tucheze, huku akinisugua na zigo lake; ghafla uzalendo ukanishinda nikajikuta namwambia, ''baby leo tutaondoka wote''. Akasema sawa tu, ni wewe tu.
Baada ya masaa kwenda, ikabidi tuondoke na huyo mlimbwende mpaka nilipofikia.
Tulipokuwa ndani, alinipa shoo ya kibabe, mbaya zaidi wakati nachochea kuni, akaniuliza, ''we unaitwa nani?'' Nikamwambia, ''equation x''
Ghafla wakati nampelekea moto, akajisahau kutaja jina langu akawa anataja jina la mtu mwingine huku akilalamika, ''we masawe wewe, nakuambia kila siku uninunulie kiwanja na unifungulie biashara lakini hutaki, mi nimekupenda wewe tu, najitahidi kukupa staili zote lakini we masawe hutaki kunisikia"
Nilishtuka sana, nikajua huyu ndio wale wanaotumia ndumba kwa kutaja majina ya watu ili aweze kuongezewa salio.
Palipokucha nikampatia chake, na tukaagana; ilipofika mchana akawa ananitafuta tena, ila sikutaka kuonana naye tena; baadaye akanitumia ujumbe mfupi, kama nikiwa dodoma naweza pia kumtafuta; nami nikamjibu haina shida.
Swali ninalojiuliza mpaka sasa, kama asingekosea kutaja jina; kwangu hali ingekuwaje?
Wazoefu karibuni
Pona pona kivipi,kwani angepatia ndio ingekuwaje sasa?Hii stori amewai kuileta jamaa mmoja alikutana na malaya wa StarPark Morogoro,, naye jina lake lilikosewa kutajwa ikawa pona pona yake
Mkuu wewe huzini?π€£π€£π€£btw acha zinaa,unajijaza mikosi kwenye mwili wakoπ