Kama asingetoa TZS20bn za elimu bure watoto wetu zaidi ya 1,317,018,43 wangegeuka machokoraa

Investigation Unit

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2023
Posts
394
Reaction score
403
1754280923957.png

Rais Samia amewezesha TZS 20 bilioni kugharamia elimu bure mkoani Geita. Jumla ya wanafunzi 1,317,018,431 walijiunga na chekechea, darasa la kwanza, na kidato cha tano. Kama asingetoa pesa hizi, vijana wengi wangetumbukia kwenye uhalifu, hasa wizi na matumizi ya madawa ya kulevya.

Mpango wa elimu bila ada kuanzia elimu ya awali hadi kidato cha sita umeimarishwa kwa kuongeza fedha kutoka Shilingi 6,486,387,724 mwaka 2021 hadi Shilingi 19,989,544,192 mwaka 2025. Jambo hili lilipelekea kuongezeka kwa uandikishaji wa wanafunzi wa elimu ya awali kutoka wanafunzi 73,446 mwaka 2021 hadi 227,087 mwaka 2025; darasa la kwanza kutoka 107,519 mwaka 2021 hadi 334,224 mwaka 2025; kidato cha kwanza kutoka 37,834 mwaka 2021 hadi 131,645 mwaka 2025; na kidato cha tano kutoka 1,900 mwaka 2021 hadi 2,618 mwaka 2025.

Fedha hizi pia zimesaidia kuimarika kwa ufaulu wa wanafunzi wa darasa la saba kutoka asilimia 82.49 mwaka 2021 hadi asilimia 71.53 mwaka 2024; kidato cha nne kutoka asilimia 84.56 mwaka 2021 hadi asilimia 94.45 mwaka 2024; na kidato cha sita kutoka asilimia 99.98 mwaka 2021 hadi asilimia 99.96 mwaka 2024.

Vilevile, kumekuwa na ongezeko la wanafunzi wa MEMKWA walioandikishwa kutoka 2,169 mwaka 2021 hadi 2,269 mwaka 2025, pamoja na wanafunzi wenye mahitaji maalum kwa shule za msingi na sekondari kutoka 1,052 mwaka 2021 hadi 2,233 mwaka 2025.

1754281050428.png
 
Unabidi kusema Serikali imeelekeza kiasi kadhaa Cha pesa katika kada ya Elimu.

Unaposema Rais ametoa hela je Rais anatoa wapi hela?

Kuweni professionally katika uwasilishaji wa Mambo.
 
Unamfahamu muhasibu mkuu wa Serikali?
 
Umeandika ujinga machokoraa wangapi wapo mtaani hata hawamudu sare na mahitaji mengine ya shule..

Wangapi wamemaliza drs 7 na wapo mtaa au huzunguki

Acha kupotosha
Na sema ni serikali sio rais
Rais Samia ametoa elimu bila malipo sio Elimu bila mavazi
 
Rais Samia amewezesha TZS20bn kugharamia Elimu bure Mkoa wa Geita jumla ya Wanafunzi 1,317,018,431 walijiunga na chekechea, darasa la kwanza na kidato cha Tano na kama asingetoa pesa hizi vijana wengi wangetumbukia kwenye uhalifu hasa wizi na madawa ya kulevya,

Elimu bila Ada kuanzia elimu ya awali hadi kidato cha sita kwa kuongeza fedha za kugharamia mpango huo kutoka Shilingi 6,486,387,724.00 mwaka 2021 hadi Shilingi 19,989,544,192 mwaka 2025 jambo hili lilipelekea kuongezeka kwa uandikishaji wa wanafunzi wa elimu ya awali kutoka wanafunzi 73,446 mwaka 2021 hadi wanafunzi 227,087 mwaka 2025, darasa la kwanza kutoka 107,519 mwaka 2021 hadi 334,224 mwaka 2025, kidato cha kwanza kutoka 37,834 mwaka 2021 hadi 131,645 mwaka 2025, kidato cha tano kutoka 1,900 mwaka 2021 hadi 2,618 mwaka 2025.

Fedha hizi pia zimesaidia kuimarika kwa ufaulu kwa wanafunzi wa darasa la saba kwa asilimia 82.49 mwaka 2021 na asilimia 71.53 mwaka 2024, kidato cha nne asilimia 84.56 mwaka 2021 na asilimia 94.45 mwaka 2024 na kidato cha sita kwa asilimia 99.98 mwaka 2021 na asilimia 99.96 mwaka 2024, Kuongezeka kwa Wanafunzi wa MEMKWA walioandikishwa kutoka 2,169 mwaka 2021 hadi wanafunzi 2,269 mwaka 2025, Kuongezeka kwa Wanafunzi wenye mahitaji Maalum kwa shule za msingi na sekondari kutoka wanafunzi 1,052 mwaka 2021 hadi wanafunzi 2,233 mwaka 2025
Ni serikali au rais Samia?
 
TUACHE MANENO MENGI HUYU MAMA HATA KAMA MPAKA 2035 MIMI NITAMPIGIA KURA TENA

WATANZANIA HATUJUI NINI TUNATAKA WALA NANI TUNAMTAKA.
 
Rais Samia amewezesha TZS 20 bilioni kugharamia elimu bure mkoani Geita. Jumla ya wanafunzi 1,317,018,431 walijiunga na chekechea, darasa la kwanza, na kidato cha tano. Kama asingetoa pesa hizi, vijana wengi wangetumbukia kwenye uhalifu, hasa wizi na matumizi ya madawa ya kulevya.

Mpango wa elimu bila ada kuanzia elimu ya awali hadi kidato cha sita umeimarishwa kwa kuongeza fedha kutoka Shilingi 6,486,387,724 mwaka 2021 hadi Shilingi 19,989,544,192 mwaka 2025. Jambo hili lilipelekea kuongezeka kwa uandikishaji wa wanafunzi wa elimu ya awali kutoka wanafunzi 73,446 mwaka 2021 hadi 227,087 mwaka 2025; darasa la kwanza kutoka 107,519 mwaka 2021 hadi 334,224 mwaka 2025; kidato cha kwanza kutoka 37,834 mwaka 2021 hadi 131,645 mwaka 2025; na kidato cha tano kutoka 1,900 mwaka 2021 hadi 2,618 mwaka 2025.

Fedha hizi pia zimesaidia kuimarika kwa ufaulu wa wanafunzi wa darasa la saba kutoka asilimia 82.49 mwaka 2021 hadi asilimia 71.53 mwaka 2024; kidato cha nne kutoka asilimia 84.56 mwaka 2021 hadi asilimia 94.45 mwaka 2024; na kidato cha sita kutoka asilimia 99.98 mwaka 2021 hadi asilimia 99.96 mwaka 2024.

Vilevile, kumekuwa na ongezeko la wanafunzi wa MEMKWA walioandikishwa kutoka 2,169 mwaka 2021 hadi 2,269 mwaka 2025, pamoja na wanafunzi wenye mahitaji maalum kwa shule za msingi na sekondari kutoka 1,052 mwaka 2021 hadi 2,233 mwaka 2025.
Wewe mjinga unajua maana ya ELIMU BURE? Unajua maana ya chokoraa?
Kawadanganye kijijini kwenu huko KENGE WEWE
 
ni ajabu sana . sikuwahi kusikia Nyerere au Mkapa eti katoa hela

Huu uchawa ni wakiwango cha lami
 
Rais Samia amewezesha TZS 20 bilioni kugharamia elimu bure mkoani Geita. Jumla ya wanafunzi 1,317,018,431 walijiunga na chekechea, darasa la kwanza, na kidato cha tano. Kama asingetoa pesa hizi, vijana wengi wangetumbukia kwenye uhalifu, hasa wizi na matumizi ya madawa ya kulevya.

Mpango wa elimu bila ada kuanzia elimu ya awali hadi kidato cha sita umeimarishwa kwa kuongeza fedha kutoka Shilingi 6,486,387,724 mwaka 2021 hadi Shilingi 19,989,544,192 mwaka 2025. Jambo hili lilipelekea kuongezeka kwa uandikishaji wa wanafunzi wa elimu ya awali kutoka wanafunzi 73,446 mwaka 2021 hadi 227,087 mwaka 2025; darasa la kwanza kutoka 107,519 mwaka 2021 hadi 334,224 mwaka 2025; kidato cha kwanza kutoka 37,834 mwaka 2021 hadi 131,645 mwaka 2025; na kidato cha tano kutoka 1,900 mwaka 2021 hadi 2,618 mwaka 2025.

Fedha hizi pia zimesaidia kuimarika kwa ufaulu wa wanafunzi wa darasa la saba kutoka asilimia 82.49 mwaka 2021 hadi asilimia 71.53 mwaka 2024; kidato cha nne kutoka asilimia 84.56 mwaka 2021 hadi asilimia 94.45 mwaka 2024; na kidato cha sita kutoka asilimia 99.98 mwaka 2021 hadi asilimia 99.96 mwaka 2024.

Vilevile, kumekuwa na ongezeko la wanafunzi wa MEMKWA walioandikishwa kutoka 2,169 mwaka 2021 hadi 2,269 mwaka 2025, pamoja na wanafunzi wenye mahitaji maalum kwa shule za msingi na sekondari kutoka 1,052 mwaka 2021 hadi 2,233 mwaka 2025.
Hizo ni pesa ndogo kulinganisha na idadi ya wanafunzi mnaoisema, mnasifia bure tu kumpendezesha huyo mnayemlamba miguu. Hicho kiasi ni kidogo sana na kila mzazi anaweza kutoa na siyo kweli kwamba vijana wengi wangetumbukia kwenye uhalifu. Jaribu kufanya hesabu
Bilioni 20 Gawanya kwa 1.32 Mil utapata Shs 14,000 (elfu 14 tu ) 20,000,000,000/1,317,000 = 14,000 Tshs. kwa kila mtoto/Mwanafunzi. Hizi pesa mzazi anaweza kutoa kwa mwaka mzima kulipia elimu ya mwanae. Acheni kudanganya watu ninyi machawa.Ni vizuri kufikiri kabla ya kuropoka, mnaaibika wenyewe.
 
Rais Samia amewezesha TZS 20 bilioni kugharamia elimu bure mkoani Geita. Jumla ya wanafunzi 1,317,018,431 walijiunga na chekechea, darasa la kwanza, na kidato cha tano. Kama asingetoa pesa hizi, vijana wengi wangetumbukia kwenye uhalifu, hasa wizi na matumizi ya madawa ya kulevya.

Mpango wa elimu bila ada kuanzia elimu ya awali hadi kidato cha sita umeimarishwa kwa kuongeza fedha kutoka Shilingi 6,486,387,724 mwaka 2021 hadi Shilingi 19,989,544,192 mwaka 2025. Jambo hili lilipelekea kuongezeka kwa uandikishaji wa wanafunzi wa elimu ya awali kutoka wanafunzi 73,446 mwaka 2021 hadi 227,087 mwaka 2025; darasa la kwanza kutoka 107,519 mwaka 2021 hadi 334,224 mwaka 2025; kidato cha kwanza kutoka 37,834 mwaka 2021 hadi 131,645 mwaka 2025; na kidato cha tano kutoka 1,900 mwaka 2021 hadi 2,618 mwaka 2025.

Fedha hizi pia zimesaidia kuimarika kwa ufaulu wa wanafunzi wa darasa la saba kutoka asilimia 82.49 mwaka 2021 hadi asilimia 71.53 mwaka 2024; kidato cha nne kutoka asilimia 84.56 mwaka 2021 hadi asilimia 94.45 mwaka 2024; na kidato cha sita kutoka asilimia 99.98 mwaka 2021 hadi asilimia 99.96 mwaka 2024.

Vilevile, kumekuwa na ongezeko la wanafunzi wa MEMKWA walioandikishwa kutoka 2,169 mwaka 2021 hadi 2,269 mwaka 2025, pamoja na wanafunzi wenye mahitaji maalum kwa shule za msingi na sekondari kutoka 1,052 mwaka 2021 hadi 2,233 mwaka 2025.
Tambua haki zako ndugu hizo fedha ni kodi unazolipa kila siku hata mtoto ana tarajia kuzaliwa analipa ikiwa ni pamoja na mirahaba (gawio)ss iweje uone ni hisani ya raisi? Acheni ujinga tambueni haki na stahiki zenu kama Watanzania na walipa KODI.
 
Back
Top Bottom