Kama asingetoa TZS20bn za elimu bure watoto wetu zaidi ya 1,317,018,43 wangegeuka machokoraa

Nani anashindwa kumsomesha mwanae bwana?
Labda wa kwako angekuwa chokoraa
 
Nani anashindwa kumsomesha mwanae bwana?
Labda wa kwako angekuwa chokoraa
Hawa ndiyo wale waropokaji wa kumsifia mama lakini wanakwepa ukweli. Wanaongelea elfu 14 kwa mwaka kwa mtoto, hata ingekuwa kwa mwezi hakuna mtoto anayeweza kuwa chokoraa. Waongo hao machawa.
 
Tanzania ina wajinga wengi sana. Hushindwe kumsomesha mtoto wako kwasababu hakuna elimu ya bure?
Kama mama yenu anawapenda sana awaambie na viongozi wengine, watoto wao wawapeleke shule za elimu bure😁😁😁😁😁
Umasikini ukikomaa ujinga na utahira uonekana waziwazi
 
Ni kweli kabisa hii
 
Huwa mnamaanisha nn mkisema hivi anazitoa mfukon meake ??
 
Hongera sana ...maana mfuko wake binafsi unatoboka
Jamani namuonea huruma mama kwa kutoka fedha yake mfukoni kuwahudumia strangers (kindness of a stranger)
 
HIYO NI HELA NDOGO SANA KULINGANISHA NA UFISADI ANAOUFANYA SAMIA.
 
Hizo pesa anatoa mfukoni kwake? Ni Kodi yetu smepewabtu dhamans ya kuzigawa
 
Bosi Dkt Samia hana nongwa kabisa hizo news zako ni kama makelele now kwenye masikio ya watanzania. Kosa lake la kwanza ni kushangilia kifo cha Dkt Magufuli (watanzania wanaamini yeye alishiriki kumuua-ingawa hii ni dhana potofu ila yeye alishindwa namna ya kujiepusha, aliyetaka kuiepusha alikuwa Makonda ila akamtoa akamuweka mzee wa mashabu makubwa mpaka sasa kwenye uenezi sijui anafanya nini),
Cha pili ni kuruhusu watu watekwe na kuuawa na kusema kifo ni kifo tu yaani kuagiza Padre Kitima auawe, mdude auawe etc kuagiza Gwajiboy auawe na kanisa lake lifungwe, yaani huu ni udhaifu mkubw sana wakijinga na wa wawazi ambao ni ngumu sana kumtetea Dkt Samia.
 
Labda uniambie huko Geita watoto walikuwa hawajiungi kabisa na shule wakati ambao utaratibu wa Elimu bure haukuwa ukichangiwa fedha
 
Sema wako na sio wetu. Tambua haki yao na wajibu wa serekali kwa wananchi.
 
yaani, njaa ikizidi tumboni ina tabia ya kuhamia kichwani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…