Kama atafanikiwa kwenye hili basi atakuwa ndio Rais bora katika historia ya Tanzania na huenda akakumbukwa kwa vizazi hata vizazi

Atafanikiwa
 
Safi Sana
 
Kazi nzuri sana Mama Samia, hakika tunakupenda,
 
 
Rubbish
 
Katiba inakuja
 
Tanzania imepata rais wa kihistoria
 
 
Katiba inakuja
-Wafanye Marekebisho ya katiba kama hawataki katiba mpya kwa kufanya yafuatayo:-
Kwanza Mimi nataka Kinga ya viongozi wakuu iondolewe ndani yakatiba ili wakiburunga kwa makusudi waweze kushitakiwa katika mahakama zetu kwa kuikose nchi au wizi au kuikosesha nchi mapato kwa makusudi , nk

-Pili Mahakama iwe huru.

-Tatu Tume za Uchaguzi ziwe huru.

-Zanzibar Iwe na Uchumi wake peke yake kama Nchi nyingine, Muungano ubakie kwenye Siasa na Ulinzi tuu.

-Maisha yaendelee.

-Magereza yaondolewe mjini ,yapelekwe kwenye maeneo ya kilimo na Migodi ,ili wafungwa watumike kuzalisha mali na ujenzi wa nchi, badala ya kuwaweka ndani na kula kulala tuu na Kufirana.Aidha Wafungwa waruhusiwe kutembelewa na wake zao na wapewe Faragha kwa kila mwezi mara moja, ili kuondoa Uchafu wa Sodomy magerezani.

-Magereza yageuzwe kuwa Viwanda na Vituo vya elimu a ufundi, na sehemu za ubunifu badala ya kuwa maeneo ya adhabu. na mateso.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…