Kama atafanikiwa kwenye hili basi atakuwa ndio Rais bora katika historia ya Tanzania na huenda akakumbukwa kwa vizazi hata vizazi

Kama atafanikiwa kwenye hili basi atakuwa ndio Rais bora katika historia ya Tanzania na huenda akakumbukwa kwa vizazi hata vizazi

Sasa kama katiba ina mrinda kiongozi asishitakiwe akiwa madarakani au baada ya kutoka madarakan unategemea huyo kiongozi akitumia fedha za umma vibaya kuna hatua yeyote itachukuliwa juu yake ikiwa katiba ya nchi inampa kinga ya maovu yake? Muongozo(katiba) mbaya matokeo yake huwa mabaya pia
Hakuna anayepinga hitaji la katiba ila sio kipaumbele cha Watanzani kwa sasa,
 
Mama Samia hana sababu ya kupinga ile rasimu ya katika iliyopendekezwa kwasababu mpaka sasa hana makando kando!!! Kikwete aliitia kwapani ile rasimu ya katiba kwasababu ya ufisadi wake; kwani aliogopa angetiwa kitanzi kama rafiki yake Zuma kule bondeni!!!
Uko sahii 100%
 
Hakuna anayepinga hitaji la katiba ila sio kipaumbele cha Watanzani kwa sasa,
Sijazungumzia katiba mpya ila nimepinga hii kauli yako "Wizi ni hulka za watu wala sio zao la katiba"

Kuhusu ktiba mpya hilo limekaa kisiasa zaidi kusema sio kipaumbele xha watanzania kwa sasa ni mbinu za kutumia ujinga wetu(maana ata iliyopo watu hawaijui) kama hoja ya kujitetea. Jiulize kwan kipindi walipoanzisha mchakato wa katiba mpya awamu ya nne kwan huo mchakato ulikuwani kipaumbele cha watanzania?
 
Ndio Maana Rais Samia ameahidi kulimaliza tatizo la wanasiasa wanataka katiba kwa manufaa yao tu,

Kenya wanakatiba nzuri sana Africa ila ndio wanaongoza kwa ufisadi so wizi ni hulka za watu sio uwepo wa katiba mbovu,
 
Kila la heri Mheshimiwa Rais Mama Samia afanikishe hili.
 
Ndio Maana Rais Samia ameahidi kulimaliza tatizo la wanasiasa wanataka katiba kwa manufaa yao tu,

Kenya wanakatiba nzuri sana Africa ila ndio wanaongoza kwa ufisadi so wizi ni hulka za watu sio uwepo wa katiba mbovu,
Good
 
Mabeberu yanazingatia mambo makubwa matatu,

1. Utawala wa Sheria jambo ambalo Rais Samia kaliweka vizuri,

2.Political Stability hili dunia inajua Tanzania ni nchi ya kidemokrasia ndio maana kule Konde ACT ikashinda mabeberu wanataka hayo,

3. Wanataka kuweko na Sera tabirika za Uchumi Rais Samia amefanya hili,

4. Wanataka Usalama wakutosha kwa wao na mali zao hili halina Shaka Tanzania,

#Awamu hii mama anamaliza mchezo,
Mlituambia hivyo hivyo kwa Kikwete, Mwinyi na Magufuli. We know you are paid for freezing our brain.
 
Back
Top Bottom