Kama atafanikiwa kwenye hili basi atakuwa ndio Rais bora katika historia ya Tanzania na huenda akakumbukwa kwa vizazi hata vizazi

Ni urithi kwa familia ya Makamba na vibaraka wake!

Huwa wanajiangaliaga wao kwanza wale 10% nyie hata mkifa its okay mradi wao wawe salama tu!

Hio miradi ya hivyo ntashabikia kama kinachopatikana watanzania watawekewa gawio kwenye Mpesa zao kila mwezi!

..jimbo la Alaska ambako wana utajiri wa mafuta kila mlipa kodi au mkaazi wa jimbo hilo hupata mgao kutoka ktk mapato ya mafuta ya jimbo hilo.
 
Ipo siku nasisi tutafika huko,

Leo hatuna barabata, maji, umeme etc
 
Ipo siku nasisi tutafika huko,

Leo hatuna barabata, maji, umeme etc

..Ni bora kufuata utaratibu wa Alaska.

..kila Mtz alipwe fedha zinazotokana na mauzo ya rasilimali zetu.

..wananchi tukianza kupata mgao kila Mtanzania atataka kujua kinachoendelea ktk uvunaji wa rasilimali zetu, hivyo serikali itakuwa makini zaidi ktk usimamizi.

..barabara, maji, etc zimekuwa zikijengwa hapa Tz tangu hatujaanza kuvuna rasilimali kama gesi, na dhahabu.
 
Sasa siwatatoana meno wabongo mjomba,

Yaani bongo ugawe pesa kila Mtaa khaa
 
Wizi ni hulka za watu wala sio zao la katiba mjomba

Katiba ikifuatwa, kutakuwa na taasisi imara na hapo ndipo matumizi mazuri ya fedha za walipa kodi yatasimamiwa. Hakuna tena mkuu wa nchi kujiamulia yeye mwenyewe Kwenda kununua ndege huku amebeba hela kwenye sandarusi !! Katiba haizai wizi bali inadhibiti matumizi mabaya ya fedha za kodi ya wananchi ikiwa ni pamoja na wizi!
 
Hata hivyo Rais Samia hajawahi kuupinga mchakato wa katiba mpya,

Niswala la muda tu
 
Mama Samia hana sababu ya kupinga ile rasimu ya katika iliyopendekezwa kwasababu mpaka sasa hana makando kando!!! Kikwete aliitia kwapani ile rasimu ya katiba kwasababu ya ufisadi wake; kwani aliogopa angetiwa kitanzi kama rafiki yake Zuma kule bondeni!!!
 
Wizi ni hulka za watu wala sio zao la katiba mjomba
Sasa kama katiba ina mrinda kiongozi asishitakiwe akiwa madarakani au baada ya kutoka madarakan unategemea huyo kiongozi akitumia fedha za umma vibaya kuna hatua yeyote itachukuliwa juu yake ikiwa katiba ya nchi inampa kinga ya maovu yake? Muongozo(katiba) mbaya matokeo yake huwa mabaya pia
 
Back
Top Bottom