Kama atafanikiwa kwenye hili basi atakuwa ndio Rais bora katika historia ya Tanzania na huenda akakumbukwa kwa vizazi hata vizazi

Twende na Samia Hadi 2040
 
Ngoja waje wachezaji wa Pingapinga FC.

Mbowe ndio nani nchi hii,

Tunatafuta kuwaletea maendeleo Watanzania na ndio tulichoahidi
 
Uko sahihi mkuu,
Namuona Rais Samia akitikisa ndani na nje ya Tanzania,

Ipo siku tutanunua gesi kwa buku ten tu Kg 30.

Kazi iendelee
Utanunua gesi kwa buku ten tu kg 30 na wakati huo huo bundle tu la kuandika hizi porojo zenu kwenye mitandao mnadhaminiwa na Shaka Hamdu Shaka!
 
Utanunua gesi kwa buku ten tu kg 30 na wakati huo huo bundle tu la kuandika hizi porojo zenu kwenye mitandao mnadhaminiwa na Shaka Hamdu Shaka!
Ubaya uko wapi mkuu?

Shaka kama mwenezi anafanya kazi yake kisawasawa,

Karibu CCM
 
Nitarudi,
Ila Samia jembe sana wanaompinga wengi wao ni vichaa tu,
 
Mwenye akili timamu hawezi kuutafuta utairi bila kujiandaa kuuhifadhi huo utajiri wake pahali salama. Huwezi kuwa na biashara ya mamilioni kwa siku na pesa unafungia kwenye box la karatasi. Ambalo mwendawazimu akiliona analipasua anachukuwa kiasi anachohitaji, mvua ikilinyeshea linapasuka, likiangukiwa na mbao linapasuka na kumwaga noti. Mwenye akili atafunga duka kwanza kutengeneza safe yenye sifa inayoendana na biashara anayoifanya.
 
Namba 1-3 hamna kitu na big boys wanajua labda enzi za JK...

Akitatua hayo watatu, kuachana na style ya Magufuli na kudhibiti wizi atatoboa
 
Tatizo la Tanzania sio hizo rasilimali bali tawala mbovu na katiba mbovu.

Ata atawale malaika kwa katiba hii na uongozi mbovu hawezi kutoboa...katiba(mipango) kwanza ndipo mengine ufuata.
 
Toa ushauri mkuu nchi yetu sote hii,

Hebu sema wapi panashida ili watu wajue
 
Tatizo la Tanzania sio hizo rasilimali bali tawala mbovu na katiba mbovu.

Ata atawale malaika kwa katiba hii na uongozi mbovu hawezi kutoboa...katiba(mipango) kwanza ndipo mengine ufuata.
Sema tawala mbovu kwenye nini?

Ukisema Tawala mbovu general kuna wengine hata mwaka hawajamaliza
 
Namba 1-3 hamna kitu na big boys wanajua labda enzi za JK...

Akitatua hayo watatu, kuachana na style ya Magufuli na kudhibiti wizi atatoboa
Big boys ndio akina Nani?

Mama alishasema yeye ni kama Magufuli
 
Katiba ya sasa inaruhusu maandamano, Nenda kaandamane basi kwa kutaka katiba mpya, na ukisema ukiandamana unapigwa hapo itabidi ujipe mwenyewe majibu umuhimu wa katiba ni nini sasa kama inakuruhusu na ukifanya unapigwa. UMUHIMU WAKE NI UPI?
 
Sema tawala mbovu kwenye nini?

Ukisema Tawala mbovu general kuna wengine hata mwaka hawajamaliza
Total system from executive,judiciary and legislature... from bottom to the top na taasisi zake.

Katiba mbovu usababisha yote hayo juu kuwa dhaifu,ata nchi iwe na utitiri wa rasimali kama hakuna utaratibu wa namna ya kutumia hiyo mali(KATIBA BORA) ni sawa na bure tu
 
Kwahilo tusubili Mungu akituletea tena Kiongozi mwenye utimamu wa kizalendo na ukomavu wa kimaamuzi magumu na akili yakinifu kwa maslai maoana ya kitaifa vinginevyo bora ikabaki ardhini Tu maana itakuwa haina tija wala faida kwa wananchi Bali itakuwa na faida kwa vibaraka na mabwana zao huo ni wangu mtazamo wa kisiasa ktk awamu hii!!!Tingoje Tu !!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…