Kama atafanikiwa kwenye hili basi atakuwa ndio Rais bora katika historia ya Tanzania na huenda akakumbukwa kwa vizazi hata vizazi

Big boys ndio akina Nani?

Mama alishasema yeye ni kama Magufuli
Big boys ni donors..

Kwa kusema yeye kama Magufuli na kuyaishi maneno hayo asitegemee huo uwekezaji unaousema kutoka kwa donors...you people are biggest jokers!
 
Tafuta kazi ya kueleweka boss, hii ya kupiga propaganda za kizee haikufai.
Hahhaha ,

MKUU HII NDIO KAZI YANGU,

Bahati mbaya sana sijui propaganda ila najua facts tu,

Fuatilia kila nilichoandika utakuta ni kweli tena kweli kabisa,

utakutana na namba Propaganda haina namba kwakuwa namba haijawahi kudanganya,

Sasa wewe kama propaganda ni zakizee why can't you be happy

Chadema mnatateseka sana na hii "ID"
 
Big boys ni donors..

Kwa kusema yeye kama Magufuli na kuyaishi maneno hayo asitegemee huo uwekezaji unaousema kutoka kwa donors...you people are biggest jokers!
Nimekuelewa mkuu

Unaweza ukawa Kama Magufuli ila usifanye kama Magufuli
 
Mbona hao Wazalendo ndio walianzisha haya Mazungumzo,

Tatizo lilikuwa kwenye kujitawala tu,

Mama kamaliza hili nawewe unajua
 
Khaaa,

Wewe unaishi Tanzania kweli?
 
Hakuna kitu mama anafanya zaidi kuongeza kero Tu kwa wananchi wanyonge anakopa kopa bila mipango mazubuti nikuongeza mzigo wa deni la taifa kwa wananchi wanyonge Tu.
Mbona hao Wazalendo ndio walianzisha haya Mazungumzo,

Tatizo lilikuwa kwenye kujitawala tu,

Mama kamaliza hili nawewe unajua
 
Nimejifunza vizuri maana ya LNG,
Asante pacha, Hongera Rais Samia
 
Hakuna kitu mama anafanya zaidi kuongeza kero Tu kwa wananchi wanyonge anakopa kopa bila mipango mazubuti nikuongeza mzigo wa deni la taifa kwa wananchi wanyonge Tu.
Mkuu kasome alichoandika BALILE,

THEN NJOO TUENDELEZE MJADALA WETU,
 
Nani amekuomba katiba mpya mkuu?

Hii ni agenda ya Chadema tu ndio maana watu hawana habari

Kuna watu wanashupaza mishipa kwa kufuata mkumbo na ukimuuliza katiba ya sasa ikoje hajui kabisa

I swear to God kuna wengine hata hiyo katiba wanayoomba hawajui ni nini kama ni wali au matunda au nini [emoji23][emoji23]
 
Rais bora ni yule anaetengeneza mifumo bora sio ulaji bora.
 
sana, Hii ni zawadi toka kwa Mungu
Mwendazake mlisema hivi hivi lakini leo hii kaacha wajane,vilema,wafungwa(Sabaya) na wengine kukimbia nchi(Makonda),wadaiwa(Musiba)

Acheni kumsingizia Mungu maana si kila kiongozi hutoka kwa Mungu maana wengine kutoka kwa shetani,zao la shetani ni; dhulma,uongo,usingiziaji na uonevu...zao la Mungu ni Haki kwa wote!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…