Kama atafanikiwa kwenye hili basi atakuwa ndio Rais bora katika historia ya Tanzania na huenda akakumbukwa kwa vizazi hata vizazi

Big boys ndio akina Nani?

Mama alishasema yeye ni kama Magufuli
Big boys ni donors..

Kwa kusema yeye kama Magufuli na kuyaishi maneno hayo asitegemee huo uwekezaji unaousema kutoka kwa donors...you people are biggest jokers!
 
Tafuta kazi ya kueleweka boss, hii ya kupiga propaganda za kizee haikufai.
Hahhaha ,

MKUU HII NDIO KAZI YANGU,

Bahati mbaya sana sijui propaganda ila najua facts tu,

Fuatilia kila nilichoandika utakuta ni kweli tena kweli kabisa,

utakutana na namba Propaganda haina namba kwakuwa namba haijawahi kudanganya,

Sasa wewe kama propaganda ni zakizee why can't you be happy

Chadema mnatateseka sana na hii "ID"
 
Big boys ni donors..

Kwa kusema yeye kama Magufuli na kuyaishi maneno hayo asitegemee huo uwekezaji unaousema kutoka kwa donors...you people are biggest jokers!
Nimekuelewa mkuu

Unaweza ukawa Kama Magufuli ila usifanye kama Magufuli
 
Kwahilo tusubili Mungu akituletea tena Kiongozi mwenye utimamu wa kizalendo na ukomavu wa kimaamuzi magumu na akili yakinifu kwa maslai maoana ya kitaifa vinginevyo bora ikabaki ardhini Tu maana itakuwa haina tija wala faida kwa wananchi Bali itakuwa na faida kwa vibaraka na mabwana zao huo ni wangu mtazamo wa kisiasa ktk awamu hii!!!Tingoje Tu !!
Mbona hao Wazalendo ndio walianzisha haya Mazungumzo,

Tatizo lilikuwa kwenye kujitawala tu,

Mama kamaliza hili nawewe unajua
 
Total system from executive,judiciary and legislature... from bottom to the top na taasisi zake.

Katiba mbovu usababisha yote hayo juu kuwa dhaifu,ata nchi iwe na utitiri wa rasimali kama hakuna utaratibu wa namna ya kutumia hiyo mali(KATIBA BORA) ni sawa na bure tu
Khaaa,

Wewe unaishi Tanzania kweli?
 
Hakuna kitu mama anafanya zaidi kuongeza kero Tu kwa wananchi wanyonge anakopa kopa bila mipango mazubuti nikuongeza mzigo wa deni la taifa kwa wananchi wanyonge Tu.
Mbona hao Wazalendo ndio walianzisha haya Mazungumzo,

Tatizo lilikuwa kwenye kujitawala tu,

Mama kamaliza hili nawewe unajua
 
UTANGULIZI:

Nimiaka zaidi ya arobaini ( 40 ) sasa tangu kugunduliwa kwa uwepo wa gesi Asilia huko Likong'o-Mchinga Lindi Pembezoni mwa bahari ya Hindi yenye futi za ujazo trilioni 57.7,Gesi hii baada ya kuchimbwa na kupoozwa kwa nyuzi Joto -260`F au -162'C nakuwa gasi miminika ndio inaitwa kitaalamu Liquefied Natural Gas ( LNG ) au inaweza kugandamizwa kwa Pressure kali ya 3'600 na kuitwa compressed Natural Gas ( CNG ) na hii ni baada ya kuondoa H20,CO2,SO2 na O2 hivyo kubaki gesi Safi ambayo inatumika kutoa Joto,kupoza vyakula,kuendesha magari, et El,

Tangu mwishoni mwa awamu ya nne Makampuni makubwa ya BG ( Shell )
ya Uingereza na Uholanzi, ExxonMobil ya Marekani,Ophir ya Uingereza, Pavilion ya Singapore,Medco Energi ya Indonesia; na StatOil ( Equinox ) ya Norway yanaendelea na sitaki nataka ili kuwekeza karibu Tshs 70trilioni au $30bl huko Likong'o Mchinga -Lindi,Mradi huu utatoa ajira za moja kwa moja zaidi ya elfu 15 na ajira ya muda elfu 5 na kuzalisha jumla ya tani 10M za LNG kwa mwaka,utaifanya Tanzania kuwa mzalishaji wa nne Africa wa Gesi asilia na kuingizia nchi fedha za kigeni zaidi ya $5.5BL au Tshs 13trilion kwa mwaka kwa kuuza hiyo tani 10 kwa bei ya $11 kwa mmbtu, Pesa hii ni sawa na 100% ya bajeti nzima ya "Maendeleo" ya nchi kwa mwaka mmoja wa Fedha.

Kwa msiofahamu,Mradi huu wa Likong'o-Mchinga Lindi ni miongoni mwamiradi mikubwa mitano Africa ikiwemo ule wa Rovuma-Mozambique wa $30BL wenye 85tct utakaomalizika 2025,Mozambique LNG wa $20BL wenye 75tct utakaomalizika 2024,Ogidigiben wa $20BL wa Serikali ya Nigeria wenye 18tct na Zabazaba wenye 93.8tct mali ya Shell Nigeria,Hapa unaweza kuona ushindani ulivyomkubwa na wenzetu wanazo deposit kubwa kuliko sisi na baadhi yao wamekubali kuwa na Visima ndani ya maji ( floating plant) ambavyo vinapunguza gharama kwa 35% ndio maana Mozambique LNG inajengwa kwa $20BL japo mfumo huu kuibiwa ni lazima,Sisi tutajenga mashine km 120 toka baharini ili kuilinda hii mali tuliyopewa na Mungu Serikali yenu ni makini sana "Kawia ufike "

Kama Rais Samia Suluhu Hassan atafanikiwa kuwashawishi hawa matajiri na kwa hulka yake tunaamini atafanikiwa na tunamwombea,Lakini pia bei ya LNG imepanda duniani na inatarajiwa kupanda zaidi na kufikia $40/mmbtu hapo baadae toka $2/mmbtu ( Nchi kama Marekani peke yake inahitaji 3.6tct kwa mwaka ) lakini pia kwa kuzingatia Amani na Umoja uliopo Tanzania,Viwango vidogo vya kodi pamoja na Sera zinazotabirika za Fedha na Uchumi awamu hii lazima HGA ifikie mwisho ili tuendelee na Pre-FEED ili ifikapo mwaka 2028 kabla Rais Samia hajaondoka Madarakani atukabidhi zawadi hii ya kihistoria tangu nchi hii kuumbwa huku Watangulizi wake wote wakiambulia patupu,

Uzoefu unaonesha maeneo mengi PSAs zilipitishwa kwa Serikali kupewa 20% ya shares zote kama hili litafanyika kwetu pia basi Tanzania itapokea wastani wa Tshs 3T kama mrabaha kwa kila mwaka kwa miaka yote ya mradi,Pesa hii inaweza kujenga SGR toka Isaka -Mwanza Km 341,Lakini pia kama 10% tu ya gasi yote ikibakishwa nchi kwaajili ya matumizi ya ndani kama maombi ya Serikali yalivyo hapa tutakuwa na ziada ya karibu tani 800K za gesi kwa mwaka kwani mahitaji yetu ya gesi bado ni chini ya Tani 200K hapa tujiandae kununua Kg 30 za gesi kwa buku ten tu na ndio maana nasema hapa Rais Samia atakumbukwa vizazi na vizazi tuendeleze dua na maombi ili kumtia nguvu,"mwenye masikio na asikie sasa ule mfupa uliowashinda wengine unatafunwa kama muhogo "
View attachment 1989249VIVA SAMIA VIVA || VIVA MAKAMBA VIVA
Nimejifunza vizuri maana ya LNG,
Asante pacha, Hongera Rais Samia
 
Hakuna kitu mama anafanya zaidi kuongeza kero Tu kwa wananchi wanyonge anakopa kopa bila mipango mazubuti nikuongeza mzigo wa deni la taifa kwa wananchi wanyonge Tu.
Mkuu kasome alichoandika BALILE,

THEN NJOO TUENDELEZE MJADALA WETU,
 
Nani amekuomba katiba mpya mkuu?

Hii ni agenda ya Chadema tu ndio maana watu hawana habari

Kuna watu wanashupaza mishipa kwa kufuata mkumbo na ukimuuliza katiba ya sasa ikoje hajui kabisa

I swear to God kuna wengine hata hiyo katiba wanayoomba hawajui ni nini kama ni wali au matunda au nini [emoji23][emoji23]
 
UTANGULIZI:

Nimiaka zaidi ya arobaini ( 40 ) sasa tangu kugunduliwa kwa uwepo wa gesi Asilia huko Likong'o-Mchinga Lindi Pembezoni mwa bahari ya Hindi yenye futi za ujazo trilioni 57.7,Gesi hii baada ya kuchimbwa na kupoozwa kwa nyuzi Joto -260`F au -162'C nakuwa gasi miminika ndio inaitwa kitaalamu Liquefied Natural Gas ( LNG ) au inaweza kugandamizwa kwa Pressure kali ya 3'600 na kuitwa compressed Natural Gas ( CNG ) na hii ni baada ya kuondoa H20,CO2,SO2 na O2 hivyo kubaki gesi Safi ambayo inatumika kutoa Joto,kupoza vyakula,kuendesha magari, et El,

Tangu mwishoni mwa awamu ya nne Makampuni makubwa ya BG ( Shell )
ya Uingereza na Uholanzi, ExxonMobil ya Marekani,Ophir ya Uingereza, Pavilion ya Singapore,Medco Energi ya Indonesia; na StatOil ( Equinox ) ya Norway yanaendelea na sitaki nataka ili kuwekeza karibu Tshs 70trilioni au $30bl huko Likong'o Mchinga -Lindi,Mradi huu utatoa ajira za moja kwa moja zaidi ya elfu 15 na ajira ya muda elfu 5 na kuzalisha jumla ya tani 10M za LNG kwa mwaka,utaifanya Tanzania kuwa mzalishaji wa nne Africa wa Gesi asilia na kuingizia nchi fedha za kigeni zaidi ya $5.5BL au Tshs 13trilion kwa mwaka kwa kuuza hiyo tani 10 kwa bei ya $11 kwa mmbtu, Pesa hii ni sawa na 100% ya bajeti nzima ya "Maendeleo" ya nchi kwa mwaka mmoja wa Fedha.

Kwa msiofahamu,Mradi huu wa Likong'o-Mchinga Lindi ni miongoni mwamiradi mikubwa mitano Africa ikiwemo ule wa Rovuma-Mozambique wa $30BL wenye 85tct utakaomalizika 2025,Mozambique LNG wa $20BL wenye 75tct utakaomalizika 2024,Ogidigiben wa $20BL wa Serikali ya Nigeria wenye 18tct na Zabazaba wenye 93.8tct mali ya Shell Nigeria,Hapa unaweza kuona ushindani ulivyomkubwa na wenzetu wanazo deposit kubwa kuliko sisi na baadhi yao wamekubali kuwa na Visima ndani ya maji ( floating plant) ambavyo vinapunguza gharama kwa 35% ndio maana Mozambique LNG inajengwa kwa $20BL japo mfumo huu kuibiwa ni lazima,Sisi tutajenga mashine km 120 toka baharini ili kuilinda hii mali tuliyopewa na Mungu Serikali yenu ni makini sana "Kawia ufike "

Kama Rais Samia Suluhu Hassan atafanikiwa kuwashawishi hawa matajiri na kwa hulka yake tunaamini atafanikiwa na tunamwombea,Lakini pia bei ya LNG imepanda duniani na inatarajiwa kupanda zaidi na kufikia $40/mmbtu hapo baadae toka $2/mmbtu ( Nchi kama Marekani peke yake inahitaji 3.6tct kwa mwaka ) lakini pia kwa kuzingatia Amani na Umoja uliopo Tanzania,Viwango vidogo vya kodi pamoja na Sera zinazotabirika za Fedha na Uchumi awamu hii lazima HGA ifikie mwisho ili tuendelee na Pre-FEED ili ifikapo mwaka 2028 kabla Rais Samia hajaondoka Madarakani atukabidhi zawadi hii ya kihistoria tangu nchi hii kuumbwa huku Watangulizi wake wote wakiambulia patupu,

Uzoefu unaonesha maeneo mengi PSAs zilipitishwa kwa Serikali kupewa 20% ya shares zote kama hili litafanyika kwetu pia basi Tanzania itapokea wastani wa Tshs 3T kama mrabaha kwa kila mwaka kwa miaka yote ya mradi,Pesa hii inaweza kujenga SGR toka Isaka -Mwanza Km 341,Lakini pia kama 10% tu ya gasi yote ikibakishwa nchi kwaajili ya matumizi ya ndani kama maombi ya Serikali yalivyo hapa tutakuwa na ziada ya karibu tani 800K za gesi kwa mwaka kwani mahitaji yetu ya gesi bado ni chini ya Tani 200K hapa tujiandae kununua Kg 30 za gesi kwa buku ten tu na ndio maana nasema hapa Rais Samia atakumbukwa vizazi na vizazi tuendeleze dua na maombi ili kumtia nguvu,"mwenye masikio na asikie sasa ule mfupa uliowashinda wengine unatafunwa kama muhogo "
View attachment 1989249VIVA SAMIA VIVA || VIVA MAKAMBA VIVA
Rais bora ni yule anaetengeneza mifumo bora sio ulaji bora.
 
sana, Hii ni zawadi toka kwa Mungu
Mwendazake mlisema hivi hivi lakini leo hii kaacha wajane,vilema,wafungwa(Sabaya) na wengine kukimbia nchi(Makonda),wadaiwa(Musiba)

Acheni kumsingizia Mungu maana si kila kiongozi hutoka kwa Mungu maana wengine kutoka kwa shetani,zao la shetani ni; dhulma,uongo,usingiziaji na uonevu...zao la Mungu ni Haki kwa wote!
 
Back
Top Bottom