Kama atafanikiwa kwenye hili basi atakuwa ndio Rais bora katika historia ya Tanzania na huenda akakumbukwa kwa vizazi hata vizazi

Nitarudi,
Ila Samia jembe sana wanaompinga wengi wao ni vichaa tu,
Bora kichaa nilidhani utathubutu kutuita mafisadi ,namwona singa singa anakula bata tu kwa pesa ya serikali yetu
 
Namba 1-3 hamna kitu na big boys wanajua labda enzi za JK...

Akitatua hayo watatu, kuachana na style ya Magufuli na kudhibiti wizi atatoboa
Hapo kwenye wizi na ufisadi ndiyo kichekosho
 
Mungu ibariki Tanzania!
 
Napenda sana uchambuzi wako, Hongera
 
Hiyo gesi ilikuwa inapigwa kimya kimya na mchina wakati wa serikali ya awamu ya 4; usitegemee jipya hapo.

Watu walioko karibu na mradi pamoja na wanajeshi walipokuwa wanalinda eneo husika wanalijua hili
 
Hiyo gesi ilikuwa inazimwa kimya kimya na mchina wakati wa serikali ya awamu ya 4; usitegemee jipya hapo.

Watu walioko karibu na mradi pamoja na wanajeshi walipokuwa wanalinda eneo husika wanalijua hili
Unamaanisha gesi hakuna Mtwara?
 
Hayati Rais Magufuli aliwahi kusema, "...Kwenye gesi huko tumeishapigwa...!" Sijui alimaanisha nini Mzalendo Mwamba Jiwe yule!
 
Huyo Rais wa kukumbukwa vizazi na vizazi alichaguliwa na nani? Na katika uchaguzi wa mwaka gani?
We utakuwa huna akili kabisa,,unadhani magufuli angekubalika na tume ya uchaguzi bila kuwepo samia!!!? Yani iko hivi hakuna Magufuli bila samia na hakuna samia bila magufuli.Chuki haitakusaidia na Samoa bado tunae sana tu mpaka 2030 utakoma.Anachonikera ni kimoja tu Kushindwa kujua Kwamba mzee Mbowe anasingiziwa ugaidi na wapumbavu akina Sirro
 
Una post makala nakuji pongeza mwenyewe mda ukifika utaongea. J.kifungio bwana [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…