A
Anonymous
Guest
Habari JamiiForums,
Naomba mnisaidie kufikisha swali langu kwa wahusika. Kwa nini kuna baadhi ya dawa ambazo hazipo kwenye bima ya afya? Pia, hali itakuwaje litakapokuja suala la Bima ya Afya kwa Wote?
Naomba mamlaka husika zitoe ufafanuzi wa kina kuhusu sababu za baadhi ya dawa kutokujumuishwa kwenye bima ya afya na kueleza namna changamoto hii itakavyoshughulikiwa katika utekelezaji wa Bima ya Afya kwa Wote, ili wananchi waweze kuelewa vizuri.