Kama baba wa demokrasia duniani Marekani ameipongeza Tanzania, CHADEMA na ACT-Wazalendo wajipange upya

Kama baba wa demokrasia duniani Marekani ameipongeza Tanzania, CHADEMA na ACT-Wazalendo wajipange upya

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Natoa tu angalizo kwamba kama Marekani wanakubali mfumo wetu wa uchaguzi kuwa ni wa kidemokrasia basi ni vema Chadema na ACT wazalendo wakubali yaishe ili tusonge mbele.

ACT-Wazalendo wajiunge na SUK na CHADEMA wawaruhusu akina Halima Mdee kujiunga na wabunge wenzao wa viti maalumu bungeni.

Nawatakia Sabato yenye baraka.

Maendeleo hayana vyama!
 
Kazi imebaki propaganda, asubuhi mpaka usiku. Na kuingiza kura kwa mabegi meusi kwenye vituo vya kura chini ya mtutu wa bunduki. Hakuna kingine. Leo Marekani anasifiwa, eti!!?? Kesho watakuwa mabeberu na mashoga! Ukiwa mwongo, angalau uwe na kumbukumbu basi!
 
Kazi imebaki propaganda, asubuhi mpaka usiku. Na kuingiza kura kwa mabegi meusi kwenye vituo vya kura chini ya mtutu wa bunduki. Hakuna kingine. Leo eti Marekani anasifiwa, eti!!?? Ukiwa mwongo, angakau uwe na kumbukumbu basi!
Hayo mabegi ulishindwa kuyakamata mpaka yakaingia kituo cha kupigia kura wakati mlikuwa na mawakala au waliamua kuwasaliti baada ya kushindwa kuwalipa posho zao!?
 
Nyie endeleeni tu kuiba. Mi binadamu wa kawada tu wala sina hata fimbo. Nyie mna vifaru, ndege za kivita....
Hayo mabegi ulishindwa kuyakamata mpaka yakaingia kituo cha kupigia kura wakati mlikuwa na mawakala au waliamua kuwasaliti baada ya kushindwa kuwalipa posho zao!?
 
Bwashe sasa unaendeleza ulaghai kwa jamii hii yetu ya giza. Hebu weka popote ambapo Pompeo amezungumzia positively kuhusiana na yaliyotokea Tanzania. Spokesperson ya foreign affairs ya US ni Pompeo not Nyani Ngabu. Watch out!
Nyani Ngabu atatoa tafsiri ya maelezo ya Guliani!
 
Kausha kwanza, tupo kwenye harakati za kukusanya pesa ili tuwarudishie zile za Covid19 tulizopiga...

Cc: mahondaw
 
Nyani Ngabu atatoa tafsiri ya maelezo ya Guliani!
IMG_-5ozpqm.jpg
 
Natoa tu angalizo kwamba kama Marekani wanakubali mfumo wetu wa uchaguzi kuwa ni wa kidemokrasia basi ni vema Chadema na ACT wazalendo wakubali yaishe ili tusonge mbele.

ACT wazalendo wajiunge na SUK na Chadema wawaruhusu akina Halima Mdee kujiunga na wabunge wenzao wa viti maalumu bungeni.

Nawatakia Sabato yenye baraka.

Maendeleo hayana vyama!
Duh naona tunaanza kuunga mkono ushoga hahahaha
 
Natoa tu angalizo kwamba kama Marekani wanakubali mfumo wetu wa uchaguzi kuwa ni wa kidemokrasia basi ni vema Chadema na ACT wazalendo wakubali yaishe ili tusonge mbele.

ACT wazalendo wajiunge na SUK na Chadema wawaruhusu akina Halima Mdee kujiunga na wabunge wenzao wa viti maalumu bungeni.

Nawatakia Sabato yenye baraka.

Maendeleo hayana vyama!
Mtu aliyeibeza Tanzania unasema kaisifia?
Kweli kizungu ni shida!
 
Back
Top Bottom