Kama baba wa demokrasia duniani Marekani ameipongeza Tanzania, CHADEMA na ACT-Wazalendo wajipange upya

Oooh kumbe upo mkuu!! Pole na stress za kushindwa uchaguzi wa 2020. Lakini tuliwaambia mapema kuwa watz watawachinjia baharini.
Wanajeshi, polisi, usalama na NEC ndio Watanzania?
Kweli wewe ni bwege kabisa! Ni zaidi ya lofa yule aliyemuita mteuzi wake "mheshimiwa mungu..."
 
Natoa tu angalizo kwamba kama Marekani wanakubali mfumo wetu wa uchaguzi kuwa ni wa kidemokrasia basi ni vema Chadema na ACT wazalendo wakubali yaishe ili tusonge mbele.

ACT wazalendo wajiunge na SUK na Chadema wawaruhusu akina Halima Mdee kujiunga na wabunge wenzao wa viti maalumu bungeni.

Nawatakia Sabato yenye baraka.

Maendeleo hayana vyama!
Unaona sifa kutajwa na Rudy Giuliani?

Amandla...
 
Wanajeshi, polisi, usalama na NEC ndio Watanzania?
Kweli wewe ni bwege kabisa! Ni zaidi ya lofa yule aliyemuita mteuzi wake "mheshimiwa mungu..."
Kumbe vyombo vyote vya ulinzi na usalama havina mpango na nyinyi!?? Kwa hiyo kama mngeshinda mngeendeshaje nchi sasa? Ndiyo maana tumeshasema upinzani utachukua miaka 100 kuiondoa CCM madarakani kama ndiyo hivyo!
 
Wewe jamaa ni bonge la kilaza. Hujui wananchi ndio wanaoweka serikali madarakani na si vyombo vya dola.
 
Natoa tu angalizo kwamba kama Marekani wanakubali mfumo wetu wa uchaguzi kuwa ni wa kidemokrasia basi ni vema Chadema na ACT wazalendo wakubali yaishe ili tusonge mbele.

ACT wazalendo wajiunge na SUK na Chadema wawaruhusu akina Halima Mdee kujiunga na wabunge wenzao wa viti maalumu bungeni.

Nawatakia Sabato yenye baraka.

Maendeleo hayana vyama!
Si ni hawa wanajiunga?

Kichwa kikubwa akili nukta, Hivyo viti maalum ni kwa ajili ya wanawake tu na sio Wenje. Aya hao hapo 19 wanasubiri kuapishwa. halafu kitu kingine chama sio CHADEMA tu, ukae kwa kutulia. https://t.co/RWYngEuXow

View attachment 1631604
 
Natoa tu angalizo kwamba kama Marekani wanakubali mfumo wetu wa uchaguzi kuwa ni wa kidemokrasia basi ni vema Chadema na ACT wazalendo wakubali yaishe ili tusonge mbele.

ACT wazalendo wajiunge na SUK na Chadema wawaruhusu akina Halima Mdee kujiunga na wabunge wenzao wa viti maalumu bungeni.

Nawatakia Sabato yenye baraka.

Maendeleo hayana vyama!
Mnashangilia kusifiwa na mabeberu na watetea ushoga?
 
Natoa tu angalizo kwamba kama Marekani wanakubali mfumo wetu wa uchaguzi kuwa ni wa kidemokrasia basi ni vema Chadema na ACT wazalendo wakubali yaishe ili tusonge mbele.

ACT wazalendo wajiunge na SUK na Chadema wawaruhusu akina Halima Mdee kujiunga na wabunge wenzao wa viti maalumu bungeni.

Nawatakia Sabato yenye baraka.

Maendeleo hayana vyama!
Unasifia pongezi za mabeberu
 
CCM mnafanya kazi kubwa mno kuubariki uchaguzi huu uwe huru na haki; lakini kifupi ni kwamba haukuwa uchaguzi bali ulikuwa uchafuzi.
Kwanza ile 74b ya wenyewe mlio swallow ni aibu kubwa ...!! Irudisheni.
 
Natoa tu angalizo kwamba kama Marekani wanakubali mfumo wetu wa uchaguzi kuwa ni wa kidemokrasia basi ni vema Chadema na ACT wazalendo wakubali yaishe ili tusonge mbele.

ACT wazalendo wajiunge na SUK na Chadema wawaruhusu akina Halima Mdee kujiunga na wabunge wenzao wa viti maalumu bungeni.

Nawatakia Sabato yenye baraka.

Maendeleo hayana vyama!
Kwa akili hiyo jiandae wanaume wakupakie vya kuteleza.
 
Natoa tu angalizo kwamba kama Marekani wanakubali mfumo wetu wa uchaguzi kuwa ni wa kidemokrasia basi ni vema Chadema na ACT wazalendo wakubali yaishe ili tusonge mbele.

ACT wazalendo wajiunge na SUK na Chadema wawaruhusu akina Halima Mdee kujiunga na wabunge wenzao wa viti maalumu bungeni.

Nawatakia Sabato yenye baraka.

Maendeleo hayana vyama!
Ujinga
 
Kwahiyo ukianzisha nyuzi uchwara , ndio nyinyi na boss wenu Jiwe ndio hamtaenda the Hague ?
 
Back
Top Bottom