johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Hayo mabegi ulishindwa kuyakamata mpaka yakaingia kituo cha kupigia kura wakati mlikuwa na mawakala au waliamua kuwasaliti baada ya kushindwa kuwalipa posho zao!?Kazi imebaki propaganda, asubuhi mpaka usiku. Na kuingiza kura kwa mabegi meusi kwenye vituo vya kura chini ya mtutu wa bunduki. Hakuna kingine. Leo eti Marekani anasifiwa, eti!!?? Ukiwa mwongo, angakau uwe na kumbukumbu basi!
Wacha kuhangaika na mramba miguuToa ushahidi, wapi, nani na lini. Otherwise ni porojo.
Hayo mabegi ulishindwa kuyakamata mpaka yakaingia kituo cha kupigia kura wakati mlikuwa na mawakala au waliamua kuwasaliti baada ya kushindwa kuwalipa posho zao!?
Oooh kumbe upo mkuu!! Pole na stress za kushindwa uchaguzi wa 2020. Lakini tuliwaambia mapema kuwa watz watawachinjia baharini.Wacha kuhangaika na mramba miguu
Nyani Ngabu atatoa tafsiri ya maelezo ya Guliani!Bwashe sasa unaendeleza ulaghai kwa jamii hii yetu ya giza. Hebu weka popote ambapo Pompeo amezungumzia positively kuhusiana na yaliyotokea Tanzania. Spokesperson ya foreign affairs ya US ni Pompeo not Nyani Ngabu. Watch out!
Bwashee nakutakia Sabato yenye baraka!Wacha kuhangaika na mramba miguu
Nyani Ngabu atatoa tafsiri ya maelezo ya Guliani!
Duh naona tunaanza kuunga mkono ushoga hahahahaNatoa tu angalizo kwamba kama Marekani wanakubali mfumo wetu wa uchaguzi kuwa ni wa kidemokrasia basi ni vema Chadema na ACT wazalendo wakubali yaishe ili tusonge mbele.
ACT wazalendo wajiunge na SUK na Chadema wawaruhusu akina Halima Mdee kujiunga na wabunge wenzao wa viti maalumu bungeni.
Nawatakia Sabato yenye baraka.
Maendeleo hayana vyama!
Hahahaaaa...... Unamkubali sana P!UNAKAZI NGUMU KAMA PASCAL MAYALLA.
UNAHANGAIKA SANA MZEE.
UKIZEEKA UTAKUWA MALLAYA.
Mtu aliyeibeza Tanzania unasema kaisifia?Natoa tu angalizo kwamba kama Marekani wanakubali mfumo wetu wa uchaguzi kuwa ni wa kidemokrasia basi ni vema Chadema na ACT wazalendo wakubali yaishe ili tusonge mbele.
ACT wazalendo wajiunge na SUK na Chadema wawaruhusu akina Halima Mdee kujiunga na wabunge wenzao wa viti maalumu bungeni.
Nawatakia Sabato yenye baraka.
Maendeleo hayana vyama!
Kuna mtu nimemtaja?Mtu aliyeibeza Tanzania unasema kaisifia?
Kweli kizungu ni shida!