TheDreamer Thebeliever
JF-Expert Member
- Feb 26, 2018
- 2,490
- 3,584
Hata kama unaishi magogoni kama huna connection utasugua sana gaga au nasema uongo ndugu zangu ?Habari wadau..!
Huu ni ukweli mtupu wengi watabisha najua.Epuka kuishi maeneo tajwa hapo.
Facts
1.Michongo mingi ipo Ilala,Kino kidogo sana Ubungo.
2.Hizi wilaya kuna uswahili sana mambo ya ajabu ajabu ,mixer ushirikina kulogana ili mtoto wa fulank asitoboe
3.Wizi wa kurudishana nyuma kimaendeleo n.k.
Tujadili,uzi teyari hapa.Matusi ruksa ila sio ya nguoni.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kigamboni ni uswahilini mno mno. Vijana wanafikiria kutongozana na kujamiina asubuhi mpaka jioni. Na mbaya zaidi wanazungukana. Utasikia mke wa fulani katembea na mume wa fulani, kesho wameachana, keshokutwa wamerudiana. Wanaendekeza sana ngono. Kuoa mwanamke aliyekulia Kigamboni na mwenye mindset za Kigamboni ni kujitatufita ufukara.Habari wadau..!
Huu ni ukweli mtupu wengi watabisha najua.Epuka kuishi maeneo tajwa hapo.
Facts
1.Michongo mingi ipo Ilala,Kino kidogo sana Ubungo.
2.Hizi wilaya kuna uswahili sana mambo ya ajabu ajabu ,mixer ushirikina kulogana ili mtoto wa fulank asitoboe
3.Wizi wa kurudishana nyuma kimaendeleo n.k.
Tujadili,uzi teyari hapa.Matusi ruksa ila sio ya nguoni.
ππππ
Hapa anazungumzia asilimia kubwa ya wakazi wa ile sehemu. Kwa mfano mtoto wa Kike anayekulia Kigamboni na Mikocheni ni tofauti mno.Hata kama unaishi magogoni kama huna connection utasugua sana gaga au nasema uongo ndugu zangu ?
Connection maeneo mengine ngumu kuzipata.Hata kama unaishi magogoni kama huna connection utasugua sana gaga au nasema uongo ndugu zangu ?
Temeke kubwa wewe usigeneralize
Uko sahihi wa kike wa kigamboni anajua kupika vyakula vyote wa mikocheni hujui kupokea ni kula vyakula cha house girl na out mlimsni city nkHapa anazungumzia asilimia kubwa ya wakazi wa ile sehemu. Kwa mfano mtoto wa Kike anayekulia Kigamboni na Mikocheni ni tofauti mno.
Chang'ombe au wailesSehemu gani nzuri huko Temeke?
Acha dharau umbwa weeHabari wadau..!
Huu ni ukweli mtupu wengi watabisha najua.Epuka kuishi maeneo tajwa hapo.
Facts
1.Michongo mingi ipo Ilala,Kino kidogo sana Ubungo.
2.Hizi wilaya kuna uswahili sana mambo ya ajabu ajabu ,mixer ushirikina kulogana ili mtoto wa fulani asitoboe
3.Wizi wa kurudishana nyuma kimaendeleo n.k.
4.Temeke na Kigamboni mzunguko wa biashara upo chini sana nz wanao ishi wengi ni low income.
Ila km unataka kuja Dar na hauna pakufikia nenda kafikie Temeke- Mbagala utanikumbuka
Tujadili.
ππππ
KijichiSehemu gani nzuri huko Temeke?
Aaaaah weee hapo kwenye ukuu wa wilaya tuache kidogoUko sahihi wa kike wa kigamboni anajua kupika vyakula vyote wa mikocheni hujui kupokea ni kula vyakula cha house girl na out mlimsni city nk
Pili wa kigamboni aweza ishi na watu wengi wa mikocheni ni mtoto wa Geri kila kutwa kuchexa game ndani n.a. kuchezea simu tu
Wa mikocheni uwezo wa kujitegenea zero wa kigamboni aweza pika maandazi vitumbua supu nk akiuza bila s
hida
Pia kwenye mapenzi mtoto wa kike wa mikocheni yuko zero wa kigamboni utamkoma sababu kafunzwa kwenye ngoma
Wa kigamboni aweza dini popote bila shida wa mikocheni hata akipangiwa ukuu wa wilaya mafia aweza kataa kwenda anakuona sio hadhi yake
Sasa mbona umaskini ndiyo umetamalaki huko kwa wenye hizo sifa? Ni ile ile dhana ya kufikiria nayekula ugali ana nguvu kuliko anayekula ubwabwa.Uko sahihi wa kike wa kigamboni anajua kupika vyakula vyote wa mikocheni hujui kupokea ni kula vyakula cha house girl na out mlimsni city nk
Pili wa kigamboni aweza ishi na watu wengi wa mikocheni ni mtoto wa Geri kila kutwa kuchexa game ndani n.a. kuchezea simu tu
Wa mikocheni uwezo wa kujitegenea zero wa kigamboni aweza pika maandazi vitumbua supu nk akiuza bila s
hida
Pia kwenye mapenzi mtoto wa kike wa mikocheni yuko zero wa kigamboni utamkoma sababu kafunzwa kwenye ngoma
Wa kigamboni aweza dini popote bila shida wa mikocheni hata akipangiwa ukuu wa wilaya mafia aweza kataa kwenda anakuona sio hadhi yake
Ukitaka kuendelea ni lzm ushirikiane na mabeberuNaamini katika athari za mazingira kwenye mafanikio, niliamua kupanga ushuani kwa gharama kubwa ilimradi tu niwaze makubwa.
Uko sahihi wa kike wa kigamboni anajua kupika vyakula vyote wa mikocheni hujui kupokea ni kula vyakula cha house girl na out mlimsni city nk
Pili wa kigamboni aweza ishi na watu wengi wa mikocheni ni mtoto wa Geri kila kutwa kuchexa game ndani n.a. kuchezea simu tu
Wa mikocheni uwezo wa kujitegenea zero wa kigamboni aweza pika maandazi vitumbua supu nk akiuza bila s
hida
Pia kwenye mapenzi mtoto wa kike wa mikocheni yuko zero wa kigamboni utamkoma sababu kafunzwa kwenye ngoma
Wa kigamboni aweza dini popote bila shida wa mikocheni hata akipangiwa ukuu wa wilaya mafia aweza kataa kwenda anakuona sio hadhi yake
We una akili sana basiNaamini katika athari za mazingira kwenye mafanikio, niliamua kupanga ushuani kwa gharama kubwa ilimradi tu niwaze makubwa.