Kama bado haujatoboa kimaisha epuka kuishi Temeke au Kigamboni

Kama bado haujatoboa kimaisha epuka kuishi Temeke au Kigamboni

Habari wadau..!
Huu ni ukweli mtupu wengi watabisha najua.Epuka kuishi maeneo tajwa hapo.
Facts
1.Michongo mingi ipo Ilala,Kino kidogo sana Ubungo.

2.Hizi wilaya kuna uswahili sana mambo ya ajabu ajabu ,mixer ushirikina kulogana ili mtoto wa fulani asitoboe

3.Wizi wa kurudishana nyuma kimaendeleo n.k.
4.Temeke na Kigamboni mzunguko wa biashara upo chini sana nz wanao ishi wengi ni low income.

Ila km unataka kuja Dar na hauna pakufikia nenda kafikie Temeke- Mbagala utanikumbuka

Tujadili.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huu ndio ubovu wa akili tunaouzungumza kila siku..!! Michongo ni jinsi utakavyotengeneza connection na si kumpangia mtu eneo la kuishi
 
Sehemu ya kuisi haihusiani na michakato yako ya kuingiza kipato bana wapo wanaokaa mbagala na kazi wanapiga kinondoni mkuu au magogoni uiwadanganye watu.
Tatizo watoa michongo wote hawaishi Temeke ndio maana,unaamua kushinda Kino na kulala Temeke😂😂😂
 
Habari wadau..!
Huu ni ukweli mtupu wengi watabisha najua.Epuka kuishi maeneo tajwa hapo.
Facts
1.Michongo mingi ipo Ilala,Kino kidogo sana Ubungo.

2.Hizi wilaya kuna uswahili sana mambo ya ajabu ajabu ,mixer ushirikina kulogana ili mtoto wa fulani asitoboe

3.Wizi wa kurudishana nyuma kimaendeleo n.k.
4.Temeke na Kigamboni mzunguko wa biashara upo chini sana nz wanao ishi wengi ni low income.

Ila km unataka kuja Dar na hauna pakufikia nenda kafikie Temeke- Mbagala utanikumbuka

Tujadili.

😂😂😂😂
Ushauri wako ni wa maisha ya upigaji dili na kushinda kwenye kona za mitaa kukimbizana na polisi. Maisha popote, kunawatu wameanzisha maisha porini kusikokuwa na watu na wamefanikiwa kutoboa.
 
Back
Top Bottom