Kama bado haujatoboa kimaisha epuka kuishi Temeke au Kigamboni

Huu ndio ubovu wa akili tunaouzungumza kila siku..!! Michongo ni jinsi utakavyotengeneza connection na si kumpangia mtu eneo la kuishi
 
Sehemu ya kuisi haihusiani na michakato yako ya kuingiza kipato bana wapo wanaokaa mbagala na kazi wanapiga kinondoni mkuu au magogoni uiwadanganye watu.
Tatizo watoa michongo wote hawaishi Temeke ndio maana,unaamua kushinda Kino na kulala Temeke๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Ushauri wako ni wa maisha ya upigaji dili na kushinda kwenye kona za mitaa kukimbizana na polisi. Maisha popote, kunawatu wameanzisha maisha porini kusikokuwa na watu na wamefanikiwa kutoboa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ