Basi hapo pana fursa.Wapo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Basi hapo pana fursa.Wapo
Kwamba shinyanga, mwanza na geita Zimechangamka kibiashara kuliko mbeya, tunduma, mafinga, makambako, mbinga, ubaruku, iringa, njombe. We jamaa hizi sehemu unazijua kweli? Mimi nadhani wewe ni msukuma.
Watoto wa dar hawawezi kukuelewa coz wanaona watu wanakuja dar kutoka mkoani
Kwanini wao waondoke dar?
Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
Nyongeza kutoka Dotto Magari:
Toka Hapaaaa
Ndo kwanza umekula sa kumi kama umefunga ramadhani unajifanya umefungaaaaa.
Kikubwa cha barabuu kidogo chetu... tokaaa hapaaaaaa na meno yako ya kuungua.
Fanya sana ibada, mali zisikufanye uweke machizi wawili mlangoni....Pita Kuleeee
Ukiona mtu anakaribia kupata hela ujue anakaribia kufa, si unamuna mungu alivyokunyima
Utaishi maisha marefu kweli, Afya kama ali kamwe pita hukooooo na meno yako ya kuungua.
Sumbawanga...mpui..Jiji lina vijana wengi sana ambao kwa namna moja ama nyingine wamekulia ama kuzaliwa kabisa katika jiji la Dar es salaam na wengi wao wameishi maisha ya hadhi hapo miaka ya 90s-00s, wakazi wengi wamezaliwa sinza -kinondoni na baadaye kuamia Tabata na maeneo mengine
Wengi wao kwa sasa ni watu wazima kabisa yaani ni 20s plus na raman ya maisha ni haisomeki kabisa kwa upande wao, mbaya zaidi wapo wenye elimu ya TIA , UDSm na vyuo vingine vingi vya mjini, lakin kiukweli maisha yao ya kesho hayapo kwenye mboni za macho yao
Nimefanya utafiti mdogo pia kwa wakazi wenye maendeleo makubwa kwenye jiji la dar es salaam zaidi ya asilimia 90 bila kupepesa macho ni wageni tena wale wageni waliokuja ukubwani wakitokea mikoa kama kilimanjaro, mbeya , njombe, mwanza na mengineyo, kama unataka kuamini hilo nenda kariakoo kwenye maduka makubwa utagundua baada ya uchunguzi ya kwamba wamiliki wengi wa hayo maduka ndio wamiliki wa real estate kubwa kwa dar es salaam na pia hao hao ndio wamiliki wa majengo zaidi ya asilimia 95 ukitoa ya serikali
Kwa kijana kama ramani hazisomi kabisa na hauna kitu kabisa nenda mikoni na moja ya mkoa ambao na shauri ni pamoja na upande wa nyanda za juu kusini jumuisha kuanzia Iringa, Njombe, Songea, mbeya, songwe, sumbawanga, katavi ni moja ya mikoa ambayo mambo mengi wapo nyuma yaani namaanisha fursa nyingi ni mbichi haswa
Ukifika kwenye moja ya mikoa hiyo jifunze tamaduni zao na namna gani wanaishi na kuwa humble sana usionyeshe wewe ni watofauti ni watu wanaopenda vya kwao na wanapenda kuwapa fursa wakwao lakini wengi wao bado hawana macho yakuona fursa sasa kwa wewe mwenye elimu yako na umeishi kwenye jiji kubwa kama dar basi nirahis kuziona fursa na kuzifanyia kazi
Nimependekeza kwa kuanzia upande wa nyanda za juu kusini mwa nchi yetu kutokana na gharama nafuu pia za maisha kuwa ni chini zaidi ya maeneo yote ya Tanzania kwa hiyo chochote unachozalisha ni rahis zaidi kukutunza bila kukitumia
Jambo jingine kwa mtafutaji usitumie sana muda mwengi kuishi kwenye maeneo hayo unapopata faida ya kujitosheleza basi sogea mbele kwenye miji iliyochangamka kama Mwanza, shinyanga-Kahama, geita huko utapata changamoto zaidi ya biashara lakin utakuwa haraka tena mara mbili au zaidi ya ulichotoka nacho nyanda za juu kusini,
Ukifata mlolongo huo kwa miaka 5 hadi 10 ukajitosheleza rudi tena dar es salaam ukiwa na mtaji wa kutosha pamoja na uzoefu wa kutosha kwenye kazi zako haswa kwa mfanya biashara itamsaidia zaidi
WASHINDAO NI WALE WANAOJARIBU NA KUANGUKA LAKINI HAWAKATI TAMAA🫶
Sumbawanga...mpui..
Songea...namabengo
Mkuu vipi mbinga fursa ni nyingi kuliko masasi?Kwamba shinyanga, mwanza na geita Zimechangamka kibiashara kuliko mbeya, tunduma, mafinga, makambako, mbinga, ubaruku, iringa, njombe. We jamaa hizi sehemu unazijua kweli? Mimi nadhani wewe ni msukuma.
Dah 🤣🤣🤣Toka zako
Umetoka maporini kwenu huko misigiri
Unakuja kumshauri mtoto wa daslam
Kwanza ushakunywa chai
Namaanisha English breakfast
Unanishauri nini mimi wa Dar es salama niliyekimbia ila niko mkoani nakula za uso natamani kuacha ajira nirudi nyumbani kupiga debe buguruni , wanangu akina Juma kikapu hawataacha kunipa deiwaka ya hitcher za mbagalaJiji lina vijana wengi sana ambao kwa namna moja ama nyingine wamekulia ama kuzaliwa kabisa katika jiji la Dar es salaam na wengi wao wameishi maisha ya hadhi hapo miaka ya 90s-00s, wakazi wengi wamezaliwa sinza -kinondoni na baadaye kuamia Tabata na maeneo mengine
Wengi wao kwa sasa ni watu wazima kabisa yaani ni 20s plus na raman ya maisha ni haisomeki kabisa kwa upande wao, mbaya zaidi wapo wenye elimu ya TIA , UDSm na vyuo vingine vingi vya mjini, lakin kiukweli maisha yao ya kesho hayapo kwenye mboni za macho yao
Nimefanya utafiti mdogo pia kwa wakazi wenye maendeleo makubwa kwenye jiji la dar es salaam zaidi ya asilimia 90 bila kupepesa macho ni wageni tena wale wageni waliokuja ukubwani wakitokea mikoa kama kilimanjaro, mbeya , njombe, mwanza na mengineyo, kama unataka kuamini hilo nenda kariakoo kwenye maduka makubwa utagundua baada ya uchunguzi ya kwamba wamiliki wengi wa hayo maduka ndio wamiliki wa real estate kubwa kwa dar es salaam na pia hao hao ndio wamiliki wa majengo zaidi ya asilimia 95 ukitoa ya serikali
Kwa kijana kama ramani hazisomi kabisa na hauna kitu kabisa nenda mikoni na moja ya mkoa ambao na shauri ni pamoja na upande wa nyanda za juu kusini jumuisha kuanzia Iringa, Njombe, Songea, mbeya, songwe, sumbawanga, katavi ni moja ya mikoa ambayo mambo mengi wapo nyuma yaani namaanisha fursa nyingi ni mbichi haswa
Ukifika kwenye moja ya mikoa hiyo jifunze tamaduni zao na namna gani wanaishi na kuwa humble sana usionyeshe wewe ni watofauti ni watu wanaopenda vya kwao na wanapenda kuwapa fursa wakwao lakini wengi wao bado hawana macho yakuona fursa sasa kwa wewe mwenye elimu yako na umeishi kwenye jiji kubwa kama dar basi nirahis kuziona fursa na kuzifanyia kazi
Nimependekeza kwa kuanzia upande wa nyanda za juu kusini mwa nchi yetu kutokana na gharama nafuu pia za maisha kuwa ni chini zaidi ya maeneo yote ya Tanzania kwa hiyo chochote unachozalisha ni rahis zaidi kukutunza bila kukitumia
Jambo jingine kwa mtafutaji usitumie sana muda mwengi kuishi kwenye maeneo hayo unapopata faida ya kujitosheleza basi sogea mbele kwenye miji iliyochangamka kama Mwanza, shinyanga-Kahama, geita huko utapata changamoto zaidi ya biashara lakin utakuwa haraka tena mara mbili au zaidi ya ulichotoka nacho nyanda za juu kusini,
Ukifata mlolongo huo kwa miaka 5 hadi 10 ukajitosheleza rudi tena dar es salaam ukiwa na mtaji wa kutosha pamoja na uzoefu wa kutosha kwenye kazi zako haswa kwa mfanya biashara itamsaidia zaidi
WASHINDAO NI WALE WANAOJARIBU NA KUANGUKA LAKINI HAWAKATI TAMAA🫶
Tema madini homeboy nije kudundulizaNawakilisha DAR nipo katavi saa hii. Kiukweli uku bado. Fulsa ni zakuzoa.
uzi mzuri but nimeshakaa mikoa yote uliyoitaja afadhali kukomaa dar esalam, ukishindwa nenda morogoro au mwanza hiyo mikoa uliyoitaja inasumbuliwa sana na 1. UCHAWI 2. UBINAFSI 3. MZUNGUKO MDOGO WA FEDHA. ukienda jipange kisaikolojia.Jiji lina vijana wengi sana ambao kwa namna moja ama nyingine wamekulia ama kuzaliwa kabisa katika jiji la Dar es salaam na wengi wao wameishi maisha ya hadhi hapo miaka ya 90s-00s, wakazi wengi wamezaliwa sinza -kinondoni na baadaye kuamia Tabata na maeneo mengine
Wengi wao kwa sasa ni watu wazima kabisa yaani ni 20s plus na raman ya maisha ni haisomeki kabisa kwa upande wao, mbaya zaidi wapo wenye elimu ya TIA , UDSm na vyuo vingine vingi vya mjini, lakin kiukweli maisha yao ya kesho hayapo kwenye mboni za macho yao
Nimefanya utafiti mdogo pia kwa wakazi wenye maendeleo makubwa kwenye jiji la dar es salaam zaidi ya asilimia 90 bila kupepesa macho ni wageni tena wale wageni waliokuja ukubwani wakitokea mikoa kama kilimanjaro, mbeya , njombe, mwanza na mengineyo, kama unataka kuamini hilo nenda kariakoo kwenye maduka makubwa utagundua baada ya uchunguzi ya kwamba wamiliki wengi wa hayo maduka ndio wamiliki wa real estate kubwa kwa dar es salaam na pia hao hao ndio wamiliki wa majengo zaidi ya asilimia 95 ukitoa ya serikali
Kwa kijana kama ramani hazisomi kabisa na hauna kitu kabisa nenda mikoni na moja ya mkoa ambao na shauri ni pamoja na upande wa nyanda za juu kusini jumuisha kuanzia Iringa, Njombe, Songea, mbeya, songwe, sumbawanga, katavi ni moja ya mikoa ambayo mambo mengi wapo nyuma yaani namaanisha fursa nyingi ni mbichi haswa
Ukifika kwenye moja ya mikoa hiyo jifunze tamaduni zao na namna gani wanaishi na kuwa humble sana usionyeshe wewe ni watofauti ni watu wanaopenda vya kwao na wanapenda kuwapa fursa wakwao lakini wengi wao bado hawana macho yakuona fursa sasa kwa wewe mwenye elimu yako na umeishi kwenye jiji kubwa kama dar basi nirahis kuziona fursa na kuzifanyia kazi
Nimependekeza kwa kuanzia upande wa nyanda za juu kusini mwa nchi yetu kutokana na gharama nafuu pia za maisha kuwa ni chini zaidi ya maeneo yote ya Tanzania kwa hiyo chochote unachozalisha ni rahis zaidi kukutunza bila kukitumia
Jambo jingine kwa mtafutaji usitumie sana muda mwengi kuishi kwenye maeneo hayo unapopata faida ya kujitosheleza basi sogea mbele kwenye miji iliyochangamka kama Mwanza, shinyanga-Kahama, geita huko utapata changamoto zaidi ya biashara lakin utakuwa haraka tena mara mbili au zaidi ya ulichotoka nacho nyanda za juu kusini,
Ukifata mlolongo huo kwa miaka 5 hadi 10 ukajitosheleza rudi tena dar es salaam ukiwa na mtaji wa kutosha pamoja na uzoefu wa kutosha kwenye kazi zako haswa kwa mfanya biashara itamsaidia zaidi
WASHINDAO NI WALE WANAOJARIBU NA KUANGUKA LAKINI HAWAKATI TAMAA🫶
uzi mzuri but nimeshakaa mikoa yote uliyoitaja afadhali kukomaa dar esalam, ukishindwa nenda morogoro au mwanza hiyo mikoa uliyoitaja inasumbuliwa sana na 1. UCHAWI 2. UBINAFSI 3. MZUNGUKO MDOGO WA FEDHA. ukienda jipange kisaikolojia.