GE2025 Kama Bado Una Mpango wa Kumshinda Dkt Samia Suluhu Hassan, mwanamama wa shoka, basi wewe umepungukiwa akili

GE2025 Kama Bado Una Mpango wa Kumshinda Dkt Samia Suluhu Hassan, mwanamama wa shoka, basi wewe umepungukiwa akili

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Soka Ndio Maisha Yangu

Senior Member
Joined
Nov 27, 2024
Posts
110
Reaction score
377
Harambee ya usiku huu ni ishara tosha kuwa CCM ni chama kikubwa cha siasa na hakina utani wakati wa kukamata dola utakapofika.

CCM ni chama dume, dume lenyewe la mbegu hasa.

Usiku Mwema Wahaini Wote.
 
Harambee ya usiku huu ni ishara tosha kuwa CCM ni chama kikubwa cha siasa na hakina utani wakati wa kukamata dola utakapofika.

CCM ni chama dume, dume lenyewe la mbegu hasa.

Usiku Mwema Wahaini Wote.
Harambee ya kuchangiwa na wakwepa kodi na mafisadi nayo ni harambee hata aibu hamuoni
 
Unamfahamu gwajiboy ?
Unatambua kuwa no 1 ajaye ni askofu ?
 
Back
Top Bottom