Soka Ndio Maisha Yangu
Senior Member
- Nov 27, 2024
- 110
- 377
Harambee ya kuchangiwa na wakwepa kodi na mafisadi nayo ni harambee hata aibu hamuoniHarambee ya usiku huu ni ishara tosha kuwa CCM ni chama kikubwa cha siasa na hakina utani wakati wa kukamata dola utakapofika.
CCM ni chama dume, dume lenyewe la mbegu hasa.
Usiku Mwema Wahaini Wote.