Red Giant
JF-Expert Member
- Mar 9, 2012
- 15,657
- 20,967
Waziri Mwigulu alisema kuwa hawezi kubadilisha kitu kwenye bajeti iliyopitishwa sababu ni sheria. Sasa kama bajeti ni sheria, na tunaona karibu kila mwaka serikali inashindwa kuitimiza bajeti yake kwa asilimia nyingi sana.
Je, kutotimiza huko siyo kuvunja sheria kunakohitaji mtu kushtakiwa?
Je, kutotimiza huko siyo kuvunja sheria kunakohitaji mtu kushtakiwa?