Bajeti ni sheria inayoielekeza Serikali ikusanye kodi kutoka vyanzo gani vya mapato na si sheria inayoiagiza Serikali kukusanya 100% ya fedha iliyokisiwa kwenye Bajeti husika. Kwa hali hiyo kutofikia makusanyo kwa asilimia 100 (100%) si kosa kisheria, hakuna sheria yoyote inayokuwa imekiukwa na kitendo hichoWaziri Mwigulu alisema kuwa hawezi kubadilisha kitu kwenye bajeti iliyopitishwa sababu ni sheria. Sasa kama bajeti ni sheria, na tunaona karibu kila mwaka serikali inashindwa kuitimiza bajeti yake kwa asilimia nyingi sana.
Je, kutotimiza huko siyo kuvunja sheria kunakohitaji mtu kushtakiwa?
Bajeti ni mapato na matumizi. Hiyo ya bajeti ni makusanyo tu umeotoa wapi?Bajeti ni sheria inayoielekeza Serikali ikusanye kodi kutoka vyanzo gani vya mapato na si sheria inayoiagiza Serikali kukusanya 100% ya fedha iliyokisiwa kwenye Bajeti husika. Kwa hali hiyo kutofikia makusanyo kwa asilimia 100 (100%) si kosa kisheria, hakuna sheria yoyote inayokuwa imekiukwa na kitendo hicho
Bajeti ni mapato na matumizi. Hiyo ya bajeti ni makusanyo tu umeotoa wapi?
Uko sahihi kabisa ila mimi nilikuwa najibu kwa kuangalia kipengele kilichoulizwa tu kwenye swali, na si vinginevyo. Kwa hiyo sikuona haja ya kuwa na jibu zuri, ila kwa swali ambalo halijaulizwaWaziri Mwigulu alisema kuwa hawezi kubadilisha kitu kwenye bajeti iliyopitishwa sababu ni sheria. Sasa kama bajeti ni sheria, na tunaona karibu kila mwaka serikali inashindwa kuitimiza bajeti yake kwa asilimia nyingi sana.
Je, kutotimiza huko siyo kuvunja sheria kunakohitaji mtu kushtakiwa?