Kama bei ya kununulia ndege inatamkwa katika vitabu vya Bajeti,ugumu wa kuweka wazi mikataba unatoka wapi?

Kama bei ya kununulia ndege inatamkwa katika vitabu vya Bajeti,ugumu wa kuweka wazi mikataba unatoka wapi?

Mikataba ya biashara ni siri popote duniani haiwezi kuwekwa wazi kwa maslahi ya kampuni husika vinginevyo utakuwa umekiuka masharti ya mkataba.
Siri Kati ya kampuni na serikali?serikali ni sisi tunahitaji kujua tumeninua Nini kwa kiasi gani,unazungumzia bunge!bunge la ndugai? Mzee Assad alishasemaga.....ni dhaifu utapata jibu gani?
 
Huyu polepole halafu huyu jamaa sijui Ni mzee au kijana?. Na arudishe memory zake alipokuwa mjumbe wa tume ya kariba

Msikilize Mzee Lipumba anavyo mzungumzia huyu Mtu.
 
Kati ya wapambe wa Cdm ambao huwa hawajui kitu bali unakaririshwa mambo ni wewe hapo. Wakisema tuseme haikupitishwa na bunge,unakurupuka kama nguruwe pori. Sasa hivi umedakia mikataba. Mbona huombi mkataba wa ujenzi wa Sgr? Flyover? Daraja la busisi? Kapuku kama wewe unajua kusoma hata mkataba?
😆😆😆 ukitaka kuua nyoka ponda kichwa , nimetandika utosi unaweweseka !
 
Binafsi nilitarajia usiri wa bei katika kununua
hizo ndege baada ya kukubaliana bei ndio iwe chanzo cha usiri wa mikataba ya manunuzi kwa malengo ya kibiashara(mteja mwingine nae aje ani-gotiate bei na terms za manunuzi kivyake).

Sasa kama gharama ya kununua hizi ndege imetajwa,nini tena msingi wa usiri huu?

Je,inawezekana bei iliyoko katika mikataba ni tofauti na iliyoko katika vitabu vya Bajeti?

Na je,kuna logic ya kujadili vitu vilivyoko katika mikataba ya siri?

Tusaidieni katika hili.
Ni usiri. Mtoto wa Dada na Mjomba wake ndiyo TANZANIA!!!!. Nchi ni YAO. Wananchi watakapoidai nchi yao, wallahi wajiandae kurudi Burundi wakiwa majeruhi au mfu.
 
Tundu anaongopa eti Bunge hakuna taarifa
Binafsi nilitarajia usiri wa bei katika kununua
hizo ndege baada ya kukubaliana bei ndio iwe chanzo cha usiri wa mikataba ya manunuzi kwa malengo ya kibiashara(mteja mwingine nae aje ani-gotiate bei na terms za manunuzi kivyake).

Sasa kama gharama ya kununua hizi ndege imetajwa,nini tena msingi wa usiri huu?

Je,inawezekana bei iliyoko katika mikataba ni tofauti na iliyoko katika vitabu vya Bajeti?

Na je,kuna logic ya kujadili vitu vilivyoko katika mikataba ya siri?

Tusaidieni katika hili.
 
Jana polepole kazungumza ujinga mtupu, eti anashangilia tume kuenvua wagombea kwa kukosea kujaza fomu, sehemu ya muhuri kuandika kitu kingine, kwani tunashindanisha kujua kujaza fomu wagombea? Tume ilipaswa kuengua wagombea kwa sababu za kikatiba
 
Muulize DJ wa wizara ya fedha
 
Tulizeni makende bavicha 😂😂😂 mmepiga kelele oh vitu vimenunuliwa bila budget! Sahivi mnataka risiti za manunuzi!

Hio ni kazi ya kuona nyaraka ni kazi ya wahasibu nyie tulizeni mishono.
 
Ipo siku mtaomba hadi mikataba ya kununulia ndege vita,maana mnaushabiki wa kishamba.

Nini maana ya kuwa na bunge? Bunge ndio wananchi wa Tanzania wao ndio wanatuwakilisha,muwe mnatumia akili.
Kimantiki iko hivyo lkn kiuhalisia wabunge wa Tz hahakilishi wtz Bali wanajiwakilisha wenyewe na Kama wangekuwa wanawakilsha wananchi wangekuwa wanaongelea issues za wananchi.wabunge wa Tz hawajitambui na wako kwa maslahi yao.Ki msingi kunahitajika kuwa na jitahada kubwa za kuubadilisha mfumo uliopo Sasa.Nadhani katiba mpya ilikuwa ni suluhisho ya baadhi ya mambo kuwa Sasa tofauti na Hilo bado tuna safari ndefu kufanya nchi ikakaa sawa.Kwa Sasa kea mfano kuna ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu mfano vyombo ya kutoa haki vinawabeba matairi ma kuwabinya wasio nacho.yako mengi wenzangu mtaendelea kuyadadavua zaidi.

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Mikataba ya biashara ni siri popote duniani haiwezi kuwekwa wazi kwa maslahi ya kampuni husika vinginevyo utakuwa umekiuka masharti ya mkataba.
Ya watu na makampuni binafsi, ndio. Mikataba inayohusu matumizi ya pesa za umma inakuwa wazi katika nchi zote za kidemokrasia. Kama ilivyo mishahara na marupurupu ya watumishi wote wa umma. Inakuwa siri pale tu ambapo serikali inathibitisha ( mara nyingi kwa Mahakama) kuwa kuiweka wazi kutaathiri usalama wa nchi.

Amandla...
 
Mikataba ya biashara ni siri popote duniani haiwezi kuwekwa wazi kwa maslahi ya kampuni husika vinginevyo utakuwa umekiuka masharti ya mkataba.
Mkataba wa Rada tulijuaje Kama Kuna chenji yetu?inawezekana na huku Kuna ka chenji tupate angalau ka ist.
 
Huyu polepole halafu huyu jamaa sijui Ni mzee au kijana?. Na arudishe memory zake alipokuwa mjumbe wa tume ya kariba
Tatizo ukishakubali kuingia huko aliko,ni lazima watoe ubongo kwasababu wanasemaga hautumiki huko.[emoji40]
 
Mikataba ya biashara ni siri popote duniani haiwezi kuwekwa wazi kwa maslahi ya kampuni husika vinginevyo utakuwa umekiuka masharti ya mkataba.
Huu upumbavu ndio unatufanya tuonekane wajinga mbele ya Mabeberu
 
Huyu polepole halafu huyu jamaa sijui Ni mzee au kijana?. Na arudishe memory zake alipokuwa mjumbe wa tume ya kariba
Kutoka mabegani kuteremuka miguuni nikijana lakini kwenda juu mabega hadi kichwa nikikongwe yani ni mixer tuu kijana kikongwe
 
Back
Top Bottom