William Mshumbusi
JF-Expert Member
- Mar 27, 2012
- 1,761
- 2,391
Eti kulalamika. Kama chama hachezi anayecheza namba yake lazima awe bora mno kuliko yeye. Sio kuunda wachezaji kwenye mechi ngumuuna chembe chembe za unafiki na kutokufikiria kutwa kulalamika
Simba hatuna hayo matusi mkuu,jitofautishe Naye...tumuelimishe huyo topoloAu basi ngoja nikuachie, nilitaka nikuulize mleta mada kwamba, kwa Kuwa unaonekana unawashwa washwa sana, unatoa tigo kwa sh ngapi usiku kucha??
Ni hilo tu
Wewe gongowazi unafaa kufanya kolabo na Saida Karoli itapendeza zaidi mpira waachie wanaoujua.Naona kampeni zimekuwa nyingi. Kama Chama ana kiburi ajue namna ya kuishi nae tu.
Naona kampeni dhidi ya Chama na ubora wa Benchika zimezidi.
Tunawasubiri mechi ya Whydad na Kagera. Chama akiendelea kunyanyasika kama hajawahi kuifanyia lolote Simba. Kama sio mtu aliyeirudisha Simba makundi CAF mfululizo kwa mabao yake murua basi mfanye hayo.
Mkitaka mchezaji bora Simba waache janja janja. Janja janja tutaishia kuwapata makanjanja kama Onana na Okwa.
Mmewaacha Okra, Sacko, mnawatenga Phiri na Chama wakiwa wa moto kabisa mnataka muujiza gani.